@ukfunnyshops: #BalliBotMagos #TredingReels #TredingReels #ForYouPage #FYP #FYP #ViralTikTok #MillionViews #TechMagic #SmartBot #AITrend #RobotVibes #Innovation

🇬🇧Funny🤩post😜
🇬🇧Funny🤩post😜
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 20 September 2026 08:51:29 GMT
8113
218
12
68

Music

Download

Comments

sami.hawi.senayet
ሳማዊ ማፊያዊ ሕጋዊ ሲታዊ😜🤟 :
2026-09-20 10:47:40
0
faniel.gere5
Faniel Gere :
2026-09-20 10:05:05
0
amadou.djembella
Amadou djembella :
2026-09-20 20:12:24
0
user8616754551020
user8616754551020 :
🥰🥰🥰
2026-09-22 08:02:48
0
saleembacha97
SALEEM BACHA :
😂😂😂
2026-09-20 10:43:10
0
gay91784
ส้มม :
😂😂😂
2026-09-20 10:08:05
0
uhn.robot.k.joan
uhn robot k Joan :
🥰🥰🥰
2026-09-20 10:57:45
0
user6631532866001
ማንቤዉ :
😁😁😁
2026-09-20 10:44:22
0
dizandjebi
Dizan Djebi :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-21 07:16:10
0
kalou.sacko56
Kalou Sacko :
@🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️💓💓💓
2026-09-20 10:31:40
0
zvikomborerobhegedhe
@..zixboy..2007 :
😁
2026-09-22 18:58:31
0
userm0lg1wxbr4wa
No fine🤟🤟🇧🇫🇧🇫✅ :
😁😁😁
2026-09-22 20:23:10
0
To see more videos from user @ukfunnyshops, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Kiungulia cha Ujauzito Kinaweza Kukunyima Usingizi Usiku na Kukuharibia Mimba Yako...  Dada yangu mjamzito, Unapata Hali kama ya moto kifuani?, unaamka usiku unashindwa kulala, tumbo limejaa hata kama hujala sana... basi fahamu: hiyo ni kiungulia. Na siyo cha kawaida! Na tatizo hili linatesa mamia ya wajawazito kila siku, ila wengi hulivumilia kimya kimya hadi hali iwe mbaya zaidi. 👇🏾👇🏾 Wakati wa ujauzito: 👉 Homoni hubadilika sana 👉Tumbo la uzazi husukuma juu tumbo la chakula 👉 Tindikali hupanda hadi kooni — na hapo ndipo kiungulia kinaanza kukutesa Na Hali hii ikiachwa bila msaada, huweza kuathiri afya yako na hata mtoto tumboni  DALILI ZA KIUNGULIA – Kuhisi kama kifua kinawaka juu – Kushiba mapema mno – Kucheua mara kwa mara – Kukohoa au kuhisi kitu kimekwama kooni – Kukosa usingizi usiku 🔐 Njia salama za kuzuia kiungulia: ✅ Kula milo midogo mara 5–6 kwa siku ✅ Epuka vyakula vya mafuta, pilipili, soda, kahawa, na chokoleti ✅ Kunywa maji ya kutosha ✅ Usilale mara baada ya kula ✅ Kaa wima unapokula ✅ Tumia mito wakati wa kulala ✅ Usile saa 2 hadi 3 kabla ya kulala Na ukihisi hali bado ni mbaya: 🥛 Kunywa maziwa baridi au mtindi 🍯 Tumia maji ya moto na kijiko cha asali Lakini kama bado haipungui kabisa…  Dawa za antacid zenye Calcium Carbonate husaidia — ila usitumie dawa bila ushauri wa daktari. Kuna wakati vipimo zaidi vinahitajika ili kuchunguza kiini halisi.  Kama unapitia changamoto kama hii, na unataka kupata elimu, msaada wa haraka, au Virutubisho vitakavyokusaidia Katika kipindi Cha ujauzito na mwongozo wa kitaalam kutoka kwangu moja kwa moja.. call/ Whatsapp 0750933014 kupata Pregnancy care kit Mama, afya yako si ya kubahatisha, Jifunze mapema, linda mimba yako kwa maarifa Sahihi. #pregnancy #pregnant

About