@malackoscar579: Siku ambayo mayele aliamuwa kuonesha ukubwa wake kwenye daby Baada ya kumtungua simba goli mbili2🔥🔥🔥

Malack oscar✅
Malack oscar✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 08:53:08 GMT
143601
7939
147
153

Music

Download

Comments

gloctary
gloctary :
jmn me nashangilia hadi marudioo
2026-09-20 11:34:20
69
essy4701
essy :
Mayere na feisal walifanya nikaupenda mpira afu nikaipenda yanga mpaka leo🥰🥰
2026-09-20 22:23:33
33
user295074790356
Wakunze BIG :
Simba wakitaka kuifunga yanga basi wasiyafanye haya👉 1. wasifunge goli dakika za mapema 2. wasishangilie sana wanatujaza hasila 3. waache mdomo mdomo watanishukulu..[Big LOL]
2026-09-21 09:10:17
25
daddy.precious89
daddy precious :
sasa me nashangilia nini😂😂😂 🙌🙌
2026-09-20 11:50:13
15
arafat_omari
Arafati Arafati Official🏅 :
sako alipofunga tu goli la kwanza alijikuta sadio mane mtupu 😅😂
2026-09-21 07:01:54
20
jomjocheo
RijahKidsStore👗 :
Me ata marudio nainjoi
2026-09-20 10:50:57
26
mrbabaj2
Baba J :
mtangazaji alikua nan
2026-09-20 17:15:19
7
babycraft17
baby craft :
kutangulia bar sy kuwahi kulew
2026-09-20 10:47:18
11
pily.rameck
💛💚pily🖤💛🌻 :
jamani nimeamini kutangulia c kufika
2026-09-20 09:50:46
16
user2336936968861
saidi jana :
naby kocha alikua anajua kupanga timu
2026-09-20 11:28:40
12
chief.kondo6
Chief kondo :
Mayele ni mmoja 2
2026-09-20 10:45:13
9
tatu.biga
Tatu Biga :
Yan nikimuonaga adi mwili unatetemeka, nataman itokee miujiza arud tena daah
2026-09-21 15:49:16
6
user8000479378183
Fer.redondo :
ilikuwa tar 12/8/2022 siisahau hii siku
2026-09-21 14:21:12
6
nyasashaha
nyasashaha :
yanga bwana
2026-09-23 12:00:36
2
gerald.mafuru1
Gerald Mafuru :
simba nyie kosa lenu subilien yanga ndo atangulie kufunga man nyie mkianza mmeisha
2026-09-23 11:08:54
2
user1687861239039
[email protected] :
mwambauyapo
2026-09-21 14:20:10
2
aivan_tamba
Aivan Tamba :
hizo ndo laha za yanga
2026-09-20 11:54:12
5
samson.director
Samson director :
tumeanza mda kushangiria yanga yetu . Sina Cha kusema yanga bingwa
2026-09-20 13:45:43
7
chidymigoko
chidy :
ila James samwel ana balaaa the kiiiiing the kiiiing
2026-09-23 09:53:59
3
user6188731757123
user6188731757123 :
mayeleee
2026-09-20 17:48:40
2
fabusam_likoko
Fabusam :
hii siku nilikuwepo uwanjani
2026-09-22 07:08:45
2
kingbizyo02
KID🤪🤪 W!ZZY🩷🩷 :
tutakukumbuka
2026-09-22 11:04:37
1
ivy63677
Ivy 💞💖 :
Tupate wapi tena mtu kama huyu Jangwani🙌🙌
2026-09-21 13:01:02
3
user3339059818703
AMINA Abdallah :
huyu ni mwamba kabisaaaa[Red heart]
2026-09-23 08:11:16
4
user1619381383733
berina theonest :
yanga bingwa jamaniiii
2026-09-21 13:33:47
2
To see more videos from user @malackoscar579, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About