Wengi wanaokoment kwanza hawajawai fatilia ibada anazofundisha huyu Mchungaji kwaiyo hawamwelewi, wako na hasira mbaya [Tears of joy][Tears of joy], tunzeni hasira zenu Wala hakuna kitu kibaya amesema huyu Baba
2026-09-20 13:41:53
21
nuruhlaizer548 :
guys nimejiona jamn uwiiiiiiiiiiiiiiii
2026-09-20 16:50:36
0
Love :
Anaweka tuu vionjo watu waamke anamuamsha uyo mmoja lakini atakuwa ameona wengi wanasinzia anachangamsha tuu kanisa hana maana mbaya
2026-09-20 11:47:27
9
winner💖 :
kweli wapare hatusinziag Babaa[Tears of joy]
2026-09-21 05:47:52
3
🦋🦋nansy ♥️💯🦋💙 :
asituaibishe wapare hatusinzii ibadani 😂
2026-09-20 14:58:34
11
Oliva Lauriani :
Kabila inahusiana na nini kanisani badala ya kufundisha neno laMungu unakazi yakuliza makabila
2026-09-21 08:13:07
3
Happy Mwakilasa :
kwani kulala Ibadan ni kabila kwal
2026-09-20 12:54:22
4
Candour Monotheist Honour :
kumbe kusinzia skuiz kuna kabila na hamsemi😂😂
2026-09-20 15:07:18
17
Princess 👑 :
usitushtue wachaga hatusinziag kanisanii
2026-09-20 10:36:36
19
ney :
mchaga sio rahisi asinzie Ibadan maana anajua alichokujia ibadani, mchanga anatafuta Neno la ushindi na kwenda nalo kwenye biashara zake week mzima alafu alale kweli 😃
2026-09-20 12:52:49
11
Anitha :
mchungaji mastai nakukubari sana kuna mda tunachoka unatufurahisha sana ila muhimu Mungu anakutumia kwa viwango vya juu utani wako wana tiktok wamepaniki uwiii 😂😂😂
2026-09-20 18:33:00
3
as_Kelly🐬🐬 :
watu wenye stress wanachukulia serious [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 19:21:40
0
godwinulomi8 :
Mchugaji haijakaa sawa kabisa hiyo.Tusijisahau tunapokuwa madhabahuni
2026-09-20 17:57:28
2
mr.Robot :
@mama gwajima😂😂
2026-09-20 20:04:10
1
VEGAS 💖☂️ :
Navolalaga na hangover zangu 😂
2026-09-20 12:03:02
1
ibahati trumpet teacher... :
mbona wanasinzia sana hata leo nimemuona mchaga amesinzia kanisani
2026-09-20 15:00:31
1
mija Tz🇹🇿 :
usishalilishe makabila ya watu ukabila umekujaje😳
2026-09-20 17:10:35
1
anice :
Wachaga wana kitu na Mungu tumempa nafasi ya kwanza kabisa kwenye maisha yetu
2026-09-21 09:09:40
2
mama J collection :
kusinzia ibadani na kabila vinahusiana nini
2026-09-20 14:45:52
3
Tyner Mushi :
Kama wew ni mchaga gonga like🥰😆
2026-09-20 16:26:23
2
umaskini sio sifa :
kuna namna ameweka ukabila bila ye kujua note that
2026-09-20 15:35:16
0
🇹🇿 Beda- gerald mgonja :
hembu tuache
2026-09-20 13:48:17
1
~MinJOY€ :
yooh nimejiona apo 😁
2026-09-20 14:23:28
2
E*🥰 :
tuaibishe kabisa 😅😅
2026-09-20 13:03:38
1
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm
homepage.