@islamic_rihla: Usione unachowapa wanaokutegemea kama mzigo. Unapowahudumia kwa nia njema, unatimiza wajibu na unatafuta thawabu kutoka kwa Allah. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH ANTONIO NUGAZI 🔸 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yenye kujenga imani na maisha. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Mawaidha #Familia #Sadaka Imani 🟠 FOLLOW US