Shukran Sana brother may Allah bless you and protect you dear 🤲
2026-09-20 17:37:20
1
Othman@ :
natamani nimjibu Khadija ila bc tuu
2026-09-21 09:25:13
1
Beautiful 😍❤️❤️ :
kaka samahani tuandikie na dua ya kumshukuru Mwenyez Mungu tumapojibiwa haraka dua zetu.
2026-09-20 11:47:53
17
zaynab :
dua Safi sana hiyoo ilimtoa yunus kwenye tumbo la samaki,hata huwe kwenye changamoto ipi mwenyezi mungu anakupitisha kwenye mtihani huo, mashallah
2026-09-20 11:11:32
7
Jasmine :
silaha ndio hizi hizi tuzifanyie kazi kwa yaqini In Shaa Allah
2026-09-20 12:40:07
7
🦋Ashi baby❣️🦋 :
Leo nimefanya hii dua nimejikuta nalia sana
2026-09-20 18:10:02
3
Sawdo Sawdo :
yn hii duaaa iantoaa majibu baada y sik 2 tu maombi yanaibiwa🙏🙏ipewe heshimaa
2026-09-20 10:16:30
6
@ophieoffial46 :
inasomwa kwa muda gani
2026-09-20 09:35:15
1
Binti Libondo :
na mm ntafanya inshaalha mungu anijibu dua zang
2026-09-20 10:07:15
3
aishykareem :
hii Dua ninzr jmn mungu tu ndo Shahid imenipa manufaa manzur tu mpaka leo naitwa mama
2026-09-20 10:01:13
7
Challa jacky :
mashallah
2026-09-21 11:08:18
1
model :
mashaallah tiba kubwa sana Kwa mwenye kufaham
2026-09-21 15:52:13
1
My precious 💦💞 :
Allah akbar mashaallh . Allah azd kukupa afya njema uzidi kutupa elimu na dua zenye barak ☺️
2026-09-20 10:24:32
3
Aysher💕 :
M nataka dua ya kurudiana na ex wangu jpo Mmke ndo yuko na shida ila bdo nampenda
2026-09-21 04:39:09
1
عيون جميلة🥹😍😘🎼 :
kwanz nimecheka jmn 😂😂
2026-09-20 10:31:43
3
Rahiyla Al-umeiry :
Alhamdulillah Allah Kareem🥰
2026-09-20 10:17:42
1
🦋unknown🦋🥷 :
Alajmdulillh🤲🤲 ..huu uradi mzito sanaa yaani uombalo utajibiwa na Allah
2026-09-20 12:40:46
2
nazmique💦💦 :
shekhe samahqn ila mim mama angu anasumbuliwa na maradhi yani likitoka hili linakuja hili na hata akipew dawa bs siku mbili t ugonjwa unaludi tena kwa nguvu ya allah naomba umsaidie mama angu yy nd nguzo nilobaki nayo hap duiniani
2026-09-20 10:54:58
3
Momo 🥰 :
A alaykum
2026-09-20 13:32:09
1
Ms Anaiya :
hii dhikr yaan hata ndotoni naiota
2026-09-20 13:48:43
1
nalule tiffa :
usiseme kwa nguvu nakuonea wivu mwenzio nina madeni🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-20 17:55:47
1
Rauhiya Ali :
unafanyaje hiyo
2026-09-20 15:00:25
1
ABDULLAH SHINDO :
alhamdulilah na mimi nimesoma kwa kweli Allah hamtupi mjaa wake
2026-09-21 07:16:53
1
faudhia abdalah :
sijaelewa hii inshusu nn
2026-09-20 11:52:57
1
moma54🥰 :
wakwanza leo shehk nifanyie dua yyte
2026-09-20 09:33:38
1
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm
homepage.