@upendo.r.centre: Raquel amegusa moyo wake kwa kutoa sadaka ya begi kwaSILIMU, pamoja na mahitaji kwa watoto wengine wenye uhitaji, ikiwemo vyakula. ❤️🎒🍚Msaada wako hauishii kwenye kitu ulichotoa—unabeba upendo, faraja na matumaini kwa watoto. Mungu akubariki sana Raquel, na akuzidishie pale ulipopunguza. 🙏❤️ #UpendoRehabilitationCentre #UpendoKwaWatoto #MoyoWaKutoa #DisabilityIsNotInability #Mtwara
UPENDO_REHABILITATION_ CENTRE
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 09:31:31 GMT
Music
Download
Comments
bibiee085 🤭 :
alishasema mungu harudii kuumba wallah uyu mwanangu ana akili sana na anamoyo wa kushukuru na sio kukufuru mungu akulinde mtoto wetu 🥰🥰🥰🥰
2026-09-21 06:33:58
35
mariamu sungi :
mtoto ana hekima ba busara zitokazo kwa mungu kabisa 🥰🥰🥰
2026-09-20 19:26:03
24
Oluwakemi Opeyemi :
were is the location please
2026-09-21 08:44:35
2
Leah songa :
wow this boy 🥰🥰
2026-09-21 12:20:43
2
Peace Maker✨ :
Moyo uliojaa shukrani
2026-09-20 18:47:07
13
pink mafia :
jmn samahani naomba kuuliza hichi kituo Kiko wp
2026-09-20 20:25:08
3
queen-lady :
love baby
2026-09-20 22:00:47
3
MeggyGlory :
mtoto wa Baraka sana huyu
2026-09-20 17:59:56
13
faith 40522 :
Mungu anibariki na pesa mingi nisaidie aki🙏🙏🙏🙏
2026-09-21 16:27:58
6
Clarabiseko0 :
Mpenda huyo mtoto anaitwa nani🥰🥰
2026-09-20 19:32:15
8
Tumainisia Shao :
mtoto ana hekima ya juu sanaaaa
2026-09-20 14:37:11
11
Tracey🦋✅️ :
mtoto huyu ni Mtumishi wa Mungu🙏
2026-09-21 16:07:22
4
Waziri :
kupitia mtoto huyu unaona ukuu wa Mungu,muweza wa yote kwa waja wake.
2026-09-21 15:36:44
2
Héritie HMN :
Mungu Awa bariki Sana
2026-09-21 12:28:52
1
🇹🇿❤️ :
Alhamdulilah
2026-09-21 14:29:02
2
sara john's :
Furaha yako furaha yetu Mtoto Mzuri 🥰🥰🥰
2026-09-21 12:23:36
2
Filbert Kaozya :
hawa watoto wanapayikana wapi
2026-09-20 19:48:20
4
amina baby boy mzuri Mungu akutunze 🙏🙏
2026-09-20 17:58:58
4
Mom miry :
Na dimples zake mwnyw☺️
2026-09-21 17:58:19
1
user2656530443669 :
nakupenda sana
2026-09-21 04:58:55
1
Daisy :
Moyo uliojaa shukrani mtoto mungu wa mbinhuni azidi kukutunza.🥰🥰🥰
2026-09-21 06:54:32
1
ton boy and eliza :
mtoto na moyo wa kushukuru sana lavee🥰🥰
2026-09-21 18:11:36
1
mwajuma mohamed mkolo :
walim ongern
2026-09-21 06:15:31
1
@MRS.IRENIC🎀🫂💍 :
mungu amtangulie na maisha yake 🙏🫂
2026-09-21 12:09:35
1
NITHA♥️♥️ :
kituo kipo wapi vipenzi vyangu
2026-09-21 06:50:00
3
To see more videos from user @upendo.r.centre, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.