@teititho0: Katika kuhakikisha anaendelea kuleta maendeleo kijijini kwake, mchezaji wa Senegal na Klabu ya Al Nassr, Sadio Mané, amepanga kuwekeza katika kiwanda cha kusindika matunda ndani ya kijiji chake cha Bambali, Senegal. Mradi huo unalenga kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa na wananchi kutengeneza fursa za kiuchumi pamoja na kuchangia maendeleo ya eneo hilo. Hatua hiyo inaonesha namna Mané anavyoendelea kutumia mafanikio yake nje ya soka kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya jamii yake na watu wa Senegal. Mbali na mradi huo mpya wa usindikaji wa matunda, Sadio Mané tayari amefanya miradi mbalimbali katika kijiji chake cha Bambali, ikiwemo kujenga shule ya sekondari, hospitali, msikiti, ofisi ya posta na kituo cha mafuta. Pia amesaidia upatikanaji wa intaneti ya 4G na kutoa msaada wa kifedha kwa familia katika eneo hilo. 🎥| PAG ✍| @tei_titho #teititho

TEI TITHO
TEI TITHO
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 09:33:49 GMT
7066
362
2
1

Music

Download

Comments

kudo.diara
kudo diara :
💛💛💛
2026-09-20 11:14:27
0
To see more videos from user @teititho0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About