@baraka.mhenwa: #LIFE #TRENDING #VIRAL

Baraka Mhenwa
Baraka Mhenwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 10:18:26 GMT
123935
2594
79
725

Music

Download

Comments

djcofmo
MR COFMO💠 :
Mda wa kuandika yote hayo si Nshapata Kikosi kikubwa sana E FOOTBALL
2026-09-20 18:26:38
5
eshetlapdot
. :
Atajua tuu kuna mahali nimeitoa
2026-09-21 04:21:37
1
mrs..ayubu
Mrs. Ayubu :
alafu nikimwambia na yeye ataniambia nn 😏
2026-09-20 15:58:35
4
sabeeh.kharady.am
Sabeeh Kharady Aman :
Manen nshayapata tyr bado mpenzi tu🤣
2026-09-21 03:28:21
1
wardasharafi07
Daddy's Girl😘 :
Kumbe Kuna mambo kam hayaa😂
2026-09-20 21:33:16
1
shomy224
Shomy bby🥰🥰 :
Me nishawahi kumwambia kama hv na bado tukaachana💔
2026-09-20 12:39:51
2
rose.george84
🌸Rossette Collection -001🛍️ :
Me Wangu ukimtumia ivo utasikia mmmh uongo uo 😂
2026-09-20 20:45:03
2
shortgal17
Short girl😂♍️ :
Sina huo muda 😂
2026-09-20 23:26:10
1
clever9140
clever9 :
uo wote kwangu uongo 😁😁😂😂😄😄nayeye nikimwambia atanishangaa maana mm alimrad awepo mtu tu😂
2026-09-20 16:33:26
1
elivia433
success💔 :
nileteen mpenzi kwanza
2026-09-20 15:28:35
1
4nithah
j, nithah :
maneno nishayapata ya kumwambia ila bado ye sijampata sasa
2026-09-21 00:22:58
1
ellyjr06
Mr efootball :
Sina mda wa kuandika essay mm 🤣🤣🤣
2026-09-20 19:31:46
1
mim_leen
Mim_leen :
nikimwambia ivi atasema nimeanza kuchanganyikiwa
2026-09-20 18:52:03
1
gachuu904
Gachuu :
Ety ukipata nafasi mwambie mpenzi wako ivi Kwa nn hiyo nafasi isitoshe kumuomba mungu wako Kwa siku ya Leo 😁😁
2026-09-20 18:55:23
3
silviagustavo4
silviagustavo❤️ :
🤣🤣 akuu
2026-09-20 23:12:14
1
jacklinrobert3
jacklinrobert3 :
2026-09-20 21:13:23
1
user9299432681800
يَتِيمُ الحُبِّ ❤️‍🔥 :
Alafu kunawale tusio kuwa na wapenzi dhidi ya mama na sister 😭😭😭
2026-09-21 00:11:58
1
vanydizz
vannydizz1 :
me sitaki kujua ila leo lazima niokote mchumba wangu uku ❤🫂🙏🙌📌
2026-09-20 21:54:42
1
msfatty20
Fatty :
Nimeangalia comment nyingi wamekupinga ila ungeandika kwakingereza wangekubali kama unabisha zigeuze kwasababu hayo maneno umeandika kwakiswahili ndiyo maana wanayachukuliapoa kama unavyowajuwa waswahili kitu kikiandikwa kwakingereza wanakiona kinamaanasanaaa
2026-09-21 03:48:20
2
.mr.lonel_y
amoh stories :
nmemwambia kasema amashaiona hii😳
2026-09-20 20:35:00
1
luno.lux
Luno lux :
mm nimemwambia but kajibu hivi 🥺lucky you 😅😅😅
2026-09-21 02:01:03
1
ruhvindra
Ruhvindra :
Mstari huu "nimebahatika kua na wewe" sio mzuri kuutumia mara kwa mara, hata kama ni mara 2 kwa mwaka, unapunguza uzito wako mbele yake, hasa kama ni mwanaume.
2026-09-21 02:44:58
1
eddy_jacky.6
Eddy_jacky26 :
nlimalza nahau kumsifia na bdo aliniacha😁💔
2026-09-20 23:17:08
1
mrramso_2
prince Liyad :
Dah
2026-09-20 21:06:38
1
nasam8656
Nasam 🦋 :
nishamwambiya lkn hajibu😂😂😂
2026-09-20 20:18:04
1
To see more videos from user @baraka.mhenwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About