@abokhaled648:

☠️🦅🇪🇬🇸🇦abokhaled
☠️🦅🇪🇬🇸🇦abokhaled
Open In TikTok:
Region: SA
Sunday 20 September 2026 10:57:36 GMT
5316
109
15
4

Music

Download

Comments

ziadhamadazizou
ÈĹŹóòź🌍 :
اخويا ال واحشني 💗
2026-09-20 23:57:47
1
user8805405162135
محـ𓄌ــمد 𝑰𝑹𝑨𝑸⚰️⚰️⚰️🦅🔪⚰️ :
اخويا اللي واحشني ربنا يطمني عليك يا حبيب قلبي
2026-09-20 11:56:20
1
ahmed.elsodany7
الخواجة السوداني :
البحرين منوره يامعلمه والله 🥰🥰🥰🥰
2026-09-20 14:45:50
1
redahagag422
REDA HAGAG :
2026-09-22 22:11:48
1
user9tle0iluqi
💥 🦂 عبووووده🦂 💥 :
🥰🥰🥰
2026-09-20 14:40:16
1
user39298005972095
زهرة البستان :
❤️❤️❤️
2026-09-20 13:12:48
1
mido.5557
ابو انس ❤️وماريا🇨🇵❤️🇪🇬 :
❤️❤️❤️
2026-09-20 20:13:39
1
user6987334482121
مدحت.زايد ابومحمد :
🥰🥰🥰🥰❤️❤️💪💪
2026-09-22 18:28:42
1
user39298005972095
زهرة البستان :
❤️
2026-09-20 13:12:34
1
user65603928630482
الدبابه الحمراء 🚚🇸🇦 :
❤️❤️❤️
2026-09-22 09:15:14
1
To see more videos from user @abokhaled648, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Arumeru, Arusha – Julai 29, 2026 – Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Frank Kimsangi, mwenye umri wa miaka 25, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake katika Kitongoji cha Oltulelei, Kata ya Ilboru, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha, katika mazingira yanayoashiria kuwa huenda aliuawa. Mwili wa marehemu ulikutwa ukiwa chini na umefunikwa kwa zulia, huku damu nyingi ikiwa imetapakaa ndani ya chumba. Kwa mujibu wa taarifa za awali, mtu anayetuhumiwa kuhusika na tukio hilo alitoroka mara baada ya tukio kutokea. Miongoni mwa watu wa kwanza kufika eneo la tukio alikuwa mwendesha bodaboda ambaye alikuwa akimpeleka marehemu kazini mara kwa mara. Akizungumza na Kusaga TV, alisema alipowasili nyumbani kwa Elizabeth kama ilivyokuwa kawaida asubuhi, alikuta mlango wa nyumba ukiwa wazi. Alipoingia ndani aliona damu kuanzia mlangoni, na alipofika chumbani alikuta mwili wa Elizabeth ukiwa umefunikwa kwa zulia. Inaelezwa kuwa marehemu alikuwa akifanya kazi katika kampuni moja ya utalii jijini Arusha. Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi na taratibu nyingine za kisheria. Uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha kifo hicho na kuwabaini pamoja na kuwakamata waliohusika. Tukio hili linakuja ikiwa ni saa chache tu zimepita tangu kuripotiwa tukio jingine la mauaji katika Wilaya ya Arumeru, ambapo mwanamke mmoja anatuhumiwa kumuua mume wake kwa kumchoma kisu shingoni katika Kijiji cha Moivo (Sanawari). #shadokofficial

About