@mrhustler47: Ulikuwa unajua kazi ya dial thermometer kwenye fridge??

HUSTLER ELECTRONICS 💡
HUSTLER ELECTRONICS 💡
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 11:00:55 GMT
115851
1959
187
425

Music

Download

Comments

lehrah1
lehrah@ :
mimi yakwngu iko 7 toka nilivonunua 2023 mpk leo na haijawah pata shida yoyote 😁😁😁😆
2026-09-21 04:20:06
15
jack.ezekia4
Jack Ezekia :
langu lina cold max warm hakuna nambar😂
2026-09-23 08:43:11
1
enkesen1234
Enkeseni Ronkai♥️🥰 :
Nina fridge kama hiyo hicho kitaa kaiwakii ila inapooza
2026-10-10 14:02:22
1
prettyreshimahmih
Veronica Mihambo :
je kuzima fridge na kuwasha na kuwasha moja Kwa moja ipi inatumia umeme mwingi
2026-10-09 21:54:48
5
coldroomtz
Immah Makari :
Walimu wa mitandaoni bana, punguza uongo nani alikuambia ukiset namba 7 unaharibu compresser na kumaliza gas?? Elewa kwanza friji za matumizi ya majumbani zina friji na frezeer kwa wakati mmoja, wengi huset namba 4 lengo ni kusave umeme na hapo pia vitu vilivyopo kwenye frezeer vinaganda vizuri tu. Gas ukiona inaisha mapema basi tambua kuna likeji mahali na sio kuwa umeset namba 5, 6 au 7
2026-10-12 07:41:40
1
fehyleey
fehy98 :
nimekaa na friji langu nq sijuh kama kuna iko kidude emu nikaangalie kwanza
2026-10-10 11:28:30
0
jack.vival
Jack vival :
Natumia no3 mana huwa sizimagi friji ata nisafiri naliacha on
2026-09-21 06:27:52
2
anniemtwalemarket
MTWALE STORE :
wenye 2 gongeni like hapa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 10:53:28
1
sofia.sud3
Sofia Sud :
asante 🙏
2026-09-21 08:43:31
1
jumo.harder
jumo harder :
waliotengeneza wakaweka1-7 hawakujua kama kompresa itaharibika?
2026-09-21 10:24:20
8
gmproducts2
gm product :
mimi nataka zile rabar za kwenye freiji
2026-10-11 14:06:20
0
beatriceabdul720
Beatrice Abdul :
mbn friji yng haina hyo kitufe?
2026-10-12 05:40:21
0
lindahrhiwa
Luckie🦋 :
Mm yangu skuiz aiwaki hiyo taa sijui kwann
2026-09-21 10:16:25
1
mama.christian774
mama christian :
samahan mim langu huwa naliwasha mara moja moja ila mara nyingi siliwashi kabisa inashida?
2026-09-21 18:32:25
1
grace51569
grace :
naomba kuuliza je ni sahihi kuwasha fridge 24hours? au ni sahihi kuwasha na kuzima?
2026-10-10 09:53:34
0
emmybrown254
emmybrown :
mnatuchanganya mwingine alituambia gas haiishi kwa fridge
2026-09-21 09:09:02
1
nathalollo2
Natha lollo🥰 :
it minzi🤣
2026-10-09 05:28:30
0
fehyleey
fehy98 :
kwaiyo sisi wa dar tuweke ngapi
2026-10-12 06:42:43
0
angel.6715
Angel.cute :
Mimi nikiweka nyanya zinaharibika nikiweka mboga ulipikwa ndani ya siku tatu inaweka utandu mweupe na fridge linakua on nafel wapi? niweka no Moja
2026-09-21 09:59:05
3
iamcleopatricia
Ms Bee🌹 :
Gas haiishi bhna huo ni uongo🤣
2026-09-21 05:57:53
1
user6827460624861
user6827460624861 :
mm ya kwangu ipo namba 1 na inagandisha hatar
2026-09-21 06:24:42
1
ma.p755
ma p :
mi natumia no 6
2026-09-21 06:16:37
0
hajrah_801
hajrah_801 :
Hapo unaset vip yan Hicho kimshale kielekee wap
2026-09-21 02:17:24
1
mrk.a.t.e.p.a
Mfipa Home Store :
na ukiona gas imeisha ujue kuna likeji sehem Mzee gas haiishi bila sababu
2026-09-21 06:17:43
0
officialkyenx
Mr Haier Technician :
Hapo kwenye gas umetupiga sana labda kwenye umeme
2026-09-21 06:08:27
0
To see more videos from user @mrhustler47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About