Ukiachana na hayo magari dahhh kuna uyo mtoto apo mungu ambarik sana katika utaftaj wake japo kuna mda tunawaona kama wasumbuf ila ndio utaftaj wao yan 🥺🥺🥺
2026-09-20 11:30:41
86
Phiri 👑⚽ :
uyo mweny gari 🙌🙌🙌 aambiwe ni maisha tu hayo
2026-09-20 16:33:45
32
𝓚𝓲𝓷𝓰 𝓸𝓯 𝓟𝓪𝓲𝓷 :
Uyo mtoto yupo sehemu Gani.
2026-09-20 12:59:05
26
🧚♂️❤️jacki🇹🇿💥 :
namuombeni uyo mtoto jamani niko zanzibar 🥹🥹
2026-09-20 16:43:23
22
@KAKA WA BONGO🇿🇦2️⃣6️⃣🇯🇲 :
KWANN HAJASHUSHA KIOO SIJAPENDAA...💔
2026-09-20 13:10:41
12
𝕴𝖙'𝖘 𝖐𝖚𝖌𝖜𝖊 ❤️🔥 :
ila Hili limeniuma saaaaanaaaa 😳😳nani mwingine
2026-09-20 20:02:29
0
KAHAMA_BOLT :
raptor🥲
2026-09-20 22:01:11
0
SOUTHERN BOY 'H' 🇿🇦🚭 :
too much pain 😭😭😭
2026-09-20 17:07:00
0
FRANK 🌴 :
Kuna msamaria mwema kamchukua juzi kwa sas anasoma dogo daah maisha haya sio poa
2026-09-20 16:41:46
12
Japhari Jumanne :
🤐 very painful 😖
2026-09-20 16:41:30
0
Hakiya Amiri 🖤 :
Mungu jibu maombi ya huyu mtoto 😥😥😥
2026-09-20 20:23:16
4
MR HILUX 😒 :
😢😢 umaskin jau sana
2026-09-20 11:32:43
16
Bubbly 🍾 G :
kwanini sasa ajamapa ata hela 🥺
2026-09-20 16:14:14
4
@draculla_sativa🚬🔞 :
daah rohoo inaniuma coz na mm Nina mdogo angu.. mwezi mungu ampe nguvu dada angu uyo
2026-09-20 14:25:24
4
Hussein Ndabalinze :
mwambien tu hyo mwenye gar maisha yanabadilika
2026-09-20 16:26:03
2
MWENDWAA :
eeeeeeh mungu nipe pesa nisaidie hawa watoto wasio jiwez hat kwa kidogo bas nita share nao maan naelew hatwz kufa na vitu vyetu zaidi ni kam tulivyo zaliwa
2026-09-20 14:00:11
2
~its_nokem 🐐 :
makusudi ya mungu 🥺🙏
2026-09-20 18:26:54
0
king zanji :
2026-09-20 14:14:50
1
KANUTI OG 🔏 :
daaah🌝
2026-09-20 11:51:16
3
Killy tz💥💥💥 :
daah😭😭
2026-09-20 11:38:38
4
gurubay :
imeniuma sana ila mwaminifu 20/20😭😭😭 tuhuzunike pamoja
2026-09-20 13:14:23
1
Pachaas🍀🍀☘️ :
Mwenyezi mungu anijalie uwezo wakuwasaidia wasionacho kwa uwezo wangu 🙏🙏
2026-09-20 18:20:47
1
“unown :
daaah 🥹hii imeniuma sana
2026-09-20 17:15:37
2
👻بريان🖤😈 :
daah😭
2026-09-20 11:44:10
1
To see more videos from user @jeff_tronix_25, please go to the Tikwm
homepage.