@tangawizipori: Replying to @maua.wellness Kitunguu Maji, Tangawizi, Manjano na Asali vina faida nyingi kwa mwanamke. 1. Hupunguza maumivu ya hedhi: Inasaidia kulegeza misuli na kutuliza yale maumivu makali ya tumbo wakati wa siku zako. 2. Husaidia kusawazisha hormoni: Inaondoa sumu mwilini na kupunguza uvimbe wa ndani. 3. Huongeza kinga ya mwili: Ina viungo vya asili vinavyosaidia mwili kupambana na bakteria pamoja na fangasi. 4. Huboresha mzunguko wa damu: Inasaidia damu kutembea vizuri, hasa kwenye eneo la viungo vya uzazi. 5. Huondoa gesi na tumbo kujaa: Inasaidia chakula kisageke vizuri na kuondoa gesi iliyozidi tumboni. #fypシ゚viral🖤tiktok #fypage
TANGAWIZI PORI 🌿
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 11:27:44 GMT
Music
Download
Comments
GraceNice :
muwe mnasoma caption wapendwa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 07:14:13
1
TANGAWIZI PORI 🌿 :
Naomba ulike video 📌
2026-09-20 12:22:53
11
𝔯𝔞𝔱𝔦𝔭𝔥𝔞🦋🦋 :
Mimi na pid nataman sana mtoto kila dawa watakayo sema ninywe nakunywa mpaka nimechoka
2026-09-20 18:42:30
3
Annie :
manjano hii wqnayopakaga usoni watu??
2026-09-20 13:16:31
3
Juju-judie👒 :
Mm nina vidonda vya tumbo 😭😭😭🙌
2026-09-20 12:23:10
3
ney cute :
hiyo ni manjano au nini
2026-09-21 11:27:34
1
Halima Nassoro :
unachemsha
2026-09-20 17:33:40
2
ir :
ule unga ni nini?
2026-09-21 06:58:26
1
Mary Uisso :
Nimekunywa hiii kitu nina ushuhudaaaa🥹🥹🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-20 18:43:15
1
sauda Agarwal :
Nime fny mara moja weeee 🔥🔥🔥
2026-09-21 10:26:34
1
fatumahramadhan2 :
Ukisha kata ivo unaweka vikae mda au?
2026-09-20 20:45:58
1
Fatuma mpoto :
iyo ni tangawizi na manjano au manjano?
2026-09-21 09:32:03
1
Habiba Ipombo :
nielekeze vzr may dear tangawizi kitungu maji ndim unga wa manjano na swaum ndio
2026-09-21 10:50:40
3
Elizabeth Steven,03💐 :
na mjamzito anaruhusiwa kutumia
2026-09-21 11:10:55
1
bechama- girl🌺 :
ngoja nikanywe na mimi nitakufa ase😆🙌
2026-09-20 19:22:40
1
bertha3 :
matokeo ni baad ya mda gani
na hayo maji ni ya moto au baridi?
je unachemsha au unaloweka na ni kwa mda gan ndo unywe?
nijb plzz
2026-09-21 05:26:12
2
Jassy b❤by :
nlitumia sna ute wakutosha na sas nmepata period ambayo imekosa kwa miez 4 sabab ya sindano
2026-09-21 08:48:59
1
Aneth Chawe :
unachemsha?
2026-09-20 19:03:57
1
Lauryn Shayo :
Hvyo vyeupe ulivyoweka na tangawizi ni vitungui swaum au?
2026-09-21 06:21:08
1
Emmanuel :
Naomba kuuliza hii kwa mwanamke anaetumia nyota ya kijani( uzazi wa mpango) anaruhusiwa kunywa
2026-09-21 11:01:38
1
saidaatm7 :
@aaa
2026-09-21 17:25:17
1
Sandra jojo :
nachunga ushuhudaa
2026-09-20 19:01:05
1
Leah makala :
cjui
2026-09-21 11:53:33
1
Zahratoto3 :
inafaa kwa mjamzito?
2026-09-21 14:41:42
1
Lauryn Shayo :
Jmn ute na huo wimbo nyiee🤣🤣🤣
2026-09-21 06:18:25
1
To see more videos from user @tangawizipori, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.