me BFF wangu nilimpost rafik mwingne kakasirika kaniambia kila mtu afuate mambo yake nimemmiss lakn ndo ivyo tena nampenda ivo ibo lakn🥺
2026-09-20 13:09:03
105
Bi mzuri store 🥰🥰 :
Hiii tabia ninayo mm na shoga anguuu😂😂😂😂
2026-09-20 12:23:28
93
GIFTS UNBOUND🎁 :
Kwanza shuka tuna siri zetu😂😂
2026-09-20 13:36:09
67
Fatma fashion designer :
BFF wanazinguaga sna jmn kuna uyo bff wang jmn kutw kupost bff wake nmemuacha n bff wake 🥺
2026-09-21 08:04:18
19
I'm a god girl :
shuka tunasiri zetu [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 13:07:37
24
Mwanamtama Dickolagwa :
eeeetiih nyongeza daaah [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 10:15:51
0
🎀🫧miss_miyah🫧🎀 :
kwanz me ukiwa rafiki yangu nataka uwe rafiki yangu pekeangu mamb ya kushea au kupost wengine unasem bff sjui😏nanuna nusu kupasuka sjui ni roho mbaya au vipi🥺😂
2026-09-20 17:12:37
22
@Mariibreezy ❤️ :
rafiki zng 😂😂😂
@🦋ziney1🦋 @Ulailah👸🦒 @👥🏵️ arshivin 🍀🎬 @Kim__J A H 😊❤️
2026-09-20 13:08:38
1
queen of lover🥰 :
sisi wengine mbona hatuna hao mabff jamani au tupo nje ya muda
2026-09-21 11:10:45
9
Kimamy muu😘 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ao wote wamot
2026-09-21 10:01:07
0
servewithstylearusha :
hahahahaha alivyomropokea…
2026-09-21 08:15:11
0
Official_Trisher :
Ctk kabisa ubff kwanz MTU linaniaga anaenda kukutn n MTU kuhus mambo y kazn kumbe anaenda out n Rafk akeee aweee saiv akuuu mie 😂 namtizama Ty....
2026-09-20 15:23:40
14
Ammy :
ungeshuka kwanz chin kdg eeeeeeeeeh🤣
2026-09-20 12:09:42
15
Rehma Omary :
uyo wa nyuma mimi nikiamua kuwalibia watu siku😂😂😂😂
2026-09-20 13:03:22
14
Zenah🦋 :
huyo wa nyuma ni mimi
2026-09-20 13:47:30
18
FAITH TINA :
kwishaaaaaa😂😂😂🥰🥰
2026-09-21 10:06:29
0
Kylie Arther 🥰 :
hili gari litakoma kununuliwa na wewe😅
2026-09-20 16:59:34
15
Mwaju✨ :
Hakunaga u bff wa watu watatu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 07:15:55
3
neema :
mm sipend rafiki yangu awe na rafiki mwengne
2026-09-20 22:47:33
6
siah :
Yan urafiki wa hivi upo Yan unakuwa rafiki asipokuwepo rafiki yake Yan akija wanaoendana wewe so mtu akiwa ayupo ndo anakuona rafiki
2026-09-20 12:44:56
8
🥀DoriTrendz🌹 :
mi ninaye picha linaanza ni lastborn yaani chochote utakachofanya lazima yeye ndo aanze ukinunua kitu lazima atoe comment na usipo.mwambia ananua siku nzima na anakusemea kwa dad yake😭😭
2026-09-20 12:25:48
9
Herstylies♓ :
huyu ni mimi kabisa ani😂😂
2026-09-20 13:57:00
9
hafsahitu22 :
shamir leo kaw mpole😂😂😂
2026-09-20 15:34:23
6
Abruk sweetners :
Haya twendeni nmenuna😁😁
2026-09-20 13:14:53
6
lissa_sio wa rapcha 🙅✅ :
10/10
2026-09-20 12:47:34
0
To see more videos from user @shamour_tz, please go to the Tikwm
homepage.