@binaupdates: piccokikongwe_ anasema kuna wakati ulifika akawa anapokea matuzi kutoka kww ndugu zake wa damu kabisa kisa tu kushuka kimaisha.

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 12:22:48 GMT
21844
986
28
8

Music

Download

Comments

user6827248127134
neema :
kumbe sko peke yang niliekataliwa na ndugu 🤣
2026-09-20 13:09:36
7
kennytz78
kennytz :
kila changamoto hutokea kwasababu kaza tu kaka
2026-09-20 18:51:40
1
mariamcharles65
@@mariamcharles65 :
pole kaka
2026-09-20 12:34:40
1
kibness
kibness :
pole ndo maisha kaka
2026-09-20 12:44:19
0
kemilembe.kaganda
Kemilembe Kaganda :
Wawooooo Picco Mzee wa Kikongwe, tupe vina
2026-09-20 15:05:20
1
selemannyaunge0
seleman Nyaunge :
komaa kaka
2026-09-20 20:52:32
0
user.90w3
star mtoto shayo :
😭😭😭😭😭😭mungu yupo aseee🙏🙏🙏
2026-09-20 22:52:45
0
rehema.fikilini
Rehema Fikilini :
pole sana kaka
2026-09-20 13:27:12
0
user8722342465915
Bint seiph :
pole
2026-09-20 17:10:56
0
omarovadnan
DHAMNA :
Mbona me Niko Mombasa na kutambua.
2026-09-20 16:20:37
0
toz.mtakatifu
Toz Mtakatifu :
oya weninoma Sana temana nandugu zako
2026-09-20 14:33:56
0
qn27m
micharazo :
ndugu jao sana mm naku e rewa mno kaka 🙏ila pole sana yote hayo ni somo la maisha
2026-09-20 21:13:55
0
herrylucasmweya
Herry l :
sahihi
2026-09-20 13:48:26
0
marianus.kakoko
Marianus Kakoko :
Hao ndio ndugu kaka, ndo tunajifunza kutokana na makosa, mie mwenyewe hiyo kazi ya saidia fundi nmefanya naijia ugumu wake, ila Mungu ni mwema utasimama tena kaka trust to God!!!
2026-09-20 19:22:16
0
rosemarylucas619
Rosemary Lucas :
hakikisha kwasasa ...wasijue sana maisha yako ..wakijua unapesa tu wanaanza kukuita na kaka mara anko ..wakipiga simu sema niko bize nitakutfta imeish
2026-09-20 23:56:54
0
user3717522430045
QuenJay :
Mungu akujaalie urud ulipo Amin
2026-09-20 14:16:00
0
mohamedchauya
Mohamed Chauya :
wengi sana awo
2026-09-20 16:16:46
0
zainisha29
zainisha alliy :
dah imeniuma wallaih kama ndugu yangu jamani wasanii hebu msaidieni huyu kaka dah😢😢😢yan ata ndugu yako hawezi kukupenda kama hauna hela nimeumia
2026-09-20 12:30:24
0
ramaah.mchomvu.tz
TROPEZ :
Mm Kama Mungu Alnikubali Siwaz Mtu Wala Ndugu Kwenye Maisha Yangu
2026-09-20 14:08:55
0
cesiliakachima1
My LifeSToryCesy :
pole sana life!
2026-09-20 13:25:15
0
mikeydamian5
dboy :
pole Sana Broo
2026-09-20 13:06:48
0
shuu.food
shuu food :
pole sana mungu atakuinua zaid mpk washangae
2026-09-20 13:03:55
0
kyeeeh6
kyeeeh! :
aya mambo yapo kabisa
2026-09-20 12:36:41
0
amando049
a m a n d o tz :
😁😁😁
2026-09-21 03:57:03
0
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About