Alafu nyinyi ndio mtasema mume kama hakuangalii omba talaka, maisha yalivo na kazi hakuna wategemea amtunze vp?lazma kuwe na imani na subra hakuna anaetaka kuwa mbali na family yake hakuna ni maisha tu yanalazimu
2026-09-21 04:08:47
3
mke wa sele♥️ :
Allah tulinde waja wako🥰🥰🥰
2026-09-20 19:05:12
2
Hamisi :
mashaalla
2026-09-20 21:00:03
1
ARES :
Sio kupenda kwao hali ya kutafuta hpa Kenya kibarua ukisema mambo ya thalaka tutaachwa wengi bc
2026-09-21 06:28:11
0
Garden lover ❤️🇹🇿 :
Anakaa miaka miwili akirud mama na ndugu zake wanaenda kwa mtoto wao kukaa mwezi wakati mume anatqkiwa akae miezi miwili kisha arud dada yangu aliwafukuza
2026-09-21 04:38:19
0
@ummy ima :
mumewangu omba duwa nivumilie sana kwa ajili ya Allah na kwaajili ya nafsi yangu mm mwenyewe
2026-09-20 20:02:38
0
Ali Sharif :
Semini mutakavyo sema lakin tutatoka kwenda kutafta riski uwarabuni ww sheikh una mkono wa wafadhili sisi wengine hatuna unambie nisitoke natoka vizuri
2026-09-20 16:50:32
3
say my name☑️ :
:Jesus said Eloi Eloi lamasabakthani while he was on cross meaning my God my God why do you leave me?? and Jesus himself said he is NOT GOD read Luke 18:18 and Jesus is son of Adam like me and you read Mathew 8:20 so I welcome everyone to ISLAM ❤️
2026-09-20 13:14:54
1
Mohammed Bare :
kikikiiiii sasa sheikh wetu tukishika mapanga mwasema haramu,tumeenda tafutia family zetu mwasema haifai so tupeni kazi basi Kenya sio kwa ubaya mguu wakutoka mtume kauombea sheikh Bafana mwenyezi mungu ndio ajuae zaidi
2026-09-21 06:18:05
0
Fardosa Hosman :
❤️
2026-09-21 04:51:54
0
Khadiya funLife style :
😂😂😂
2026-09-21 05:00:08
0
Issa Amadi :
🥰🥰🥰
2026-09-20 21:26:16
0
Queen____🎀🎀 :
🥰🥰🥰
2026-09-20 18:39:04
0
Momede :
🥰🥰🥰
2026-09-21 07:08:41
0
To see more videos from user @masjid.faraj, please go to the Tikwm
homepage.