@mwanzatrending:

MwanzaTrending
MwanzaTrending
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 12:43:09 GMT
32471
1027
96
102

Music

Download

Comments

eizermix
Eizer :
Elnino ni serous ishu. Wanaondolewa kwa usalama wao na pia hivyo vibanda vimekaa maeneo mabaya sana. Wengine juu ya mitaro, lakini pia kwa wenyeji wa kona ya bwiru tuseme ukweli yale sio maeneo sahihi ya kuweka vibanda. Wanasababisha taka nyingi ambazo zinaziba mitaro. Mvua ikonyesha huwa mnaona balaa la hapo. Vipi kuhusu elnino si itakua bwawa. Ifikie kipindi tuelewe tu na tukubali hali halisi. Swali la msingi NANI ALIYEKUPANGISHA ENEO HILO? Serikali au mtu binafsi? Ni eneo la serikali au la mtu? Una mikataba ya kupanga hapo ili tufungue kesi?
2026-09-21 06:54:08
10
sikupendiujuitu833
sikupendi ujui tuu :
CCM MBELE KWA MBELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE🤣🤣
2026-09-21 09:22:55
2
raphaelgaudence
raphaelgaudence :
HII INAITWA KAZI NA U2 CHAGUA CCM CHAGUA SAMIA 😁😁😁😁
2026-09-21 04:03:25
6
miriamneneka
Milly :
Kuna mam pale alikuwa anauza samak akitaj bei ujasikia aludii
2026-09-21 08:34:49
3
__raymie1
_RAYMIE🌸 :
National soko la ijumaa walichofanyiw ni huzuni🥲💔
2026-09-20 20:13:38
9
faboluos.alsina.t
Faboluos Alsina Tray :
kuna mda nashukuru sana hao migambo waliniondoa mwaka 2017 nkabadlsha biashara mwanzo niliwaza sana maana nilikua sina eneo nilipoanza biashara nnayofanya sasa rizik ikaanza kuingia mara dufu🙏
2026-09-20 20:18:13
19
mimitzq2
white sky :
Mhmmmm sinausemi
2026-09-21 04:26:56
1
_maureenjoyce
Maureen Joyce :
nimeshuka nyasaka center nikahisi nimekosea kituo [Tears of joy]
2026-09-20 21:13:06
11
mim.zahy
Mim zahy :
duu maskin kuna wengine tulikuwa na kaka zetu wanajipatia dhirik hapo mungu wang😭 mungu awasimamie hali majumban inaenda kuwa ngumu sana
2026-09-20 15:08:09
23
chaitz2
✨T-Ãlphâ⚡ :
Hivi Wanavyoondolewa Wanatafutiwa Maeneo Ya Kufanya Biashara Kweli?? Ajila Amna Watu Wanajiajili Wanatimliwa Dah Kazi Na Utu Tunasonga Mbelee
2026-09-20 14:37:08
13
masuka360
Beringcy🔛🛜 :
Duuh! Sasa mm dagaa na muchicha ntanunua wap tena
2026-09-20 19:24:47
3
ge_official01
I am Gee😇❤️#glory :
hivi ni mwanza tu ama
2026-09-21 04:45:35
2
elizawilliam95
elizawilliam :
Mungu awafanyie wepesi tena
2026-09-20 21:22:33
4
user4415616536661
haiman :
yani mimi apo serikali yangu imenichanganya san kwakwel sisi wengn tumekulia hivyo vibada vya mama zetu kuuza nyanya afu mnawatoa
2026-09-20 20:06:49
5
chocolatemaria3
Angelica🧚 :
Wenye pesa wamisha wekeza tayari,
2026-09-21 04:13:00
1
habiba.h001
habiba h :
da ila 😭😭
2026-09-21 03:51:19
2
gold.hidden
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
maskin watu wataishije
2026-09-20 21:30:02
5
officialmimaah442
Officialmimaah442🦋 :
Jmn lini hiyo
2026-09-20 18:23:10
2
willgadfrank
Willgad Plumber :
2026-09-21 04:35:29
2
rosemarylucas619
Rosemary Lucas :
duh...pamekuwa pabaya sana
2026-09-21 00:22:48
1
user1136958124063
wivina :
dunia tunapita Kila lenye mwanzo Lina mwisho wake,acha watufanyie figusu Mungu hatotuacha kamwe
2026-09-21 06:24:35
1
pendo.ramadhani6
pendo ramadhani :
daaaah na sabasaba tumepewa mwez mmoja Hy maishaaa ila zetu duaaa🙏🙏🙏
2026-09-20 21:23:00
1
idahulascents
IDAHULA SCENTS :
duuuh jmn mwanza nachoka mie Mungu awatie wepesi jmn🙌🥺😭
2026-09-21 05:38:35
1
kaykaka_unique
Kay_kaka :
Daaah
2026-09-21 04:35:22
1
mauasadani
Mauasadani :
mara mjiajiri tumejiajiri tunafukuzwaaa
2026-09-20 18:25:40
2
To see more videos from user @mwanzatrending, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About