@bashasha_tv: Wasifu wa marehemu kwenye kipengele cha kazi unasema kuwa marehemu hakuwa na kazi yeyote ya kufanya enzi za uhai wake. #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia
hi lzm nii download itanichekesha bdae nkiwa sin bando
2026-09-20 19:49:06
0
chibui :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mtihanii wallah
2026-09-20 14:38:15
0
cute phinaa :
tarehe ya 31 mwez 12 mwaka 2026 ali fariki tare 17 mwezi 9 mwaka 2026 ameishi miaka 30 na miez kazaa kwahiyo marehemu bado hajazaliwa ila amefariki na ameish miaka 30😳😳
2026-09-20 15:39:06
51
mpenda haki :
mliozaliwa 95 huu ujumbe ni wa ndugu yenu
2026-09-20 16:31:27
12
lastborn :
leo ndio nasikia kwa mara ya kwanza mtu anakufa kabla ya kuzaliwa
2026-09-20 18:54:05
6
winston Churchill..💯✊️✊️ :
au me ndonimesikia vibaya
2026-09-20 16:35:50
5
Sarah de G :
nyie mwez wa 12 mwaka 2026 mbona nashindwa kuelewa mm nipo mwaka gan jmn
2026-09-20 18:38:05
3
Arnny💝💝 :
Kwan marehem yy anasemaje😂
2026-09-20 15:29:05
4
Litha Jackson :
kazaliwa tarh 31 mwez wa 7 2026 nashindwa kuelew [Tears of joy]
2026-09-20 18:09:56
3
iringa lady :
hahhhhhhh
2026-09-20 17:43:08
0
minalove 😘 :
marehemu kazaliwa lin
2026-09-20 16:57:50
1
miss H :
mmmmmh niache nachanganyikiwa mjukuu wangu
2026-09-20 17:59:48
2
fisonfrank :
pressure ya kuto kuwa na pesa polen sana
2026-09-20 18:49:11
0
Mum Godwill :
huyooo sijamchukua
2026-09-20 18:05:15
1
abidah cku🦋 :
wasifu wang sasa marehem nilikuw nazurura
2026-09-20 16:48:33
3
Miriam artist :
Nashindwa kuelewa
2026-09-20 18:15:24
2
Candy_Scent🦋🎀 :
Hakikisha hawakuelewi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 15:56:24
2
culz biggie🐒 :
hii nchi kuna sehemu imetoboka😂
2026-09-20 19:50:18
1
rehemaissa562 :
Nashindwa kuwalewa 😂😂😂
2026-09-20 15:44:36
8
Lee🌸 :
Anachekeshaa kma sio nduguyako[Teary eyed]
2026-09-20 15:43:06
2
key 🔑🔑 :
aahh
2026-09-20 15:46:47
1
vash_shine🦋♓️ :
Tulieni kila mtu atachanganyikiwa kwa mda wake🥺😂😂
2026-09-21 01:05:57
0
Nyaki Nyaki :
mhmm
2026-09-20 21:26:26
0
Zawadi Mushi :
yuko mbele ya mda
2026-09-20 21:32:22
0
user5943508428125 :
Kila mtu anachanganyikiwa kwa mda wake jamni
2026-09-20 21:34:37
0
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm
homepage.