@kanticreativeai: Ila wateja 😂😂😂😂😂😂🙌 @ndakize6 #wakala #tanzaniacomedy #tanzania #kanticreativeai #foryou

Kanti Creative AI
Kanti Creative AI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 13:29:46 GMT
40980
1350
115
105

Music

Download

Comments

godfreyadrian
babaNEY :
wasukuma [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 11:40:27
0
bundala.fc
ilemba comedian :
😳😳😳😳
2026-09-21 11:23:20
0
ndakize6
Mr maokoto :
Hii ilinifanya niachee kuuza vocha asee😂😂
2026-09-20 15:02:15
17
modigitalwifi
mo digital internet 📶 :
na ukute vocha kanunua kwingine 🤣🤣🤣
2026-09-21 07:32:07
5
4llogod
Mr. kyoma Og :
nikiwa Sina mood nawambia vocha zimeisha sitak ufara mm
2026-09-21 08:44:30
2
marietha566
cute Etha❤️🦋 :
hii uwa inanikata sana
2026-09-21 12:02:53
0
user8143388385710
Suzy Mwita :
huwa spendi tabia hii
2026-09-20 14:09:44
5
dicasi6
African 🇹🇿 chapion🔐💘 :
Mimi sipendi mtu waivy
2026-09-20 14:14:56
3
angelaloyce00021
smile girl💞💞 :
kwann angel😂😂😂
2026-09-21 05:37:56
2
happy.gindo
Happy Gindo :
Ndo maana niliacha kuuza vochaa
2026-09-21 09:16:51
0
user5597106547143
[email protected] :
mm ningemwamby sijui kusoma
2026-09-21 11:02:09
0
angelistarfednand
Angel🥰 :
siuzi vocha mm stak usumbufu
2026-09-21 13:07:48
0
agatha.matambula8
Boss lady :
Wazeee hao wanakera hatar 🤣🤣
2026-09-21 11:22:28
0
emmanuelgibe722
Emaboy1 :
sawa😂😂😂
2026-09-20 18:55:00
2
user3361813832941
Grace :
mm nd maan nasemag n mm huwa nawekew
2026-09-21 11:15:45
0
haleluya_beauty_salon
Haleluya Beauty Salon :
dah kaz ipo
2026-09-21 08:26:33
0
ndakize6
Mr maokoto :
Kaka Ahsante umetisha😂😂
2026-09-20 14:52:12
1
ndakize6
Mr maokoto :
Kaka kuna ile mteja anakuja na simu ina hela anakwambia kuna namba humu nataka uitumie hela kwa kutumie simu yake akimaliza anaondoka, kwa niaba ya wakala wote wanaokeleka tupigie pia na hii
2026-09-21 11:45:51
3
suzan9_5_
suzie 🦋 :
🤣Ila wateja
2026-09-21 06:22:31
1
hilbajoj
mwana harakati :
huyu ndo me
2026-09-20 15:10:15
1
flored2024
flored2024 :
alaf vocha ya jero utakua unanitafuta lamoyn mm ntakuju sioni vizuri🤣🤣🤣
2026-09-20 19:17:29
2
buchosa92
petrosalum6 :
hiv vitu vinanikera sana kazn, unamuwekea vocha had umuungie jaman inakera
2026-09-21 12:49:08
0
www.tiktok.comangel.is
❤️angl💕 :
mim kabs ndy naangaliaa hvyo
2026-09-20 18:08:42
1
lizzyvinvx
MADAM C.E.O :
ni Nawaz nikiwa mzee namm NTAKUA msumbuf km Hawa wazee
2026-09-21 09:53:30
1
user45678732722087
[email protected] :
uza vocha za kulusha anakupa zakukwanga eti nimesikia unaweka vocha niwekee hii duu
2026-09-20 19:09:43
2
To see more videos from user @kanticreativeai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About