najua kuna mwana yanga ana feel good but hatak kusema🤣🤣
2026-09-22 08:07:33
15
kaburu :
r.i.p kocha wetu wa viungo mtunisia huyu alikuwa na mzuka sna
2026-09-22 10:24:34
9
untamedx🚬 :
hii ndo ilikua simba sasa
2026-09-21 12:08:39
15
Lukafuba Jr :
clips za hivi huwezi zikuta upande wa mtani[Tears of joy]
2026-09-21 16:46:50
9
BEA SIMBA :
wonderfully match
2026-09-22 09:08:47
1
gmm :
unfogetabl game
2026-09-22 04:08:23
1
Amos Umoja :
water gam
2026-09-21 08:36:51
6
DMG Sticker :
simba hii ikirud dah
2026-09-21 15:02:26
2
mwana simba J :
https://www.facebook.com/share/18XRygdVhA/
2026-09-21 06:42:14
3
king of peace :
mmh nakumbuka mbali
2026-09-21 07:54:50
5
dalali_tinnotinny7 :
Simba hii ikirudi lakini libase gueye na miquissone wanabadilishana upande. Oura na mpanzu wanapokezana nafasi. Mbele kagere anabadilishana na Mugalu. Halafu Chama anabadilishana na Pape Sakho balaa hiyo weeeeee halafu golini awepi Pin pin Camara mamamamaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂
2026-09-21 16:17:01
7
Noel Paul :
raha ya kuangalia hii clip ni zaidi ya kilele cha tendo la ndoa
2026-09-22 10:52:30
1
paul severine :
hii ilikuwa hatariiiii 😅😅😅
2026-09-21 07:59:10
6
NDAMA JEURI :
noma san
2026-09-21 08:46:27
5
Takeon_March 🇺🇲 :
hii simba daa kwann haikutepelek hata fainal
2026-09-22 06:04:12
1
Captain 🧑✈️ :
Na ilikuwa ni offside
2026-09-21 19:32:00
1
Bakari Mkumba :
yani mpaka mwili unaccmka ninapoiyona simba noma sana
2026-09-21 12:26:59
2
Obeto Lubugo :
ssimbaaaaa
2026-09-21 11:58:20
1
kipepe komredi :
mateso makali
2026-09-21 14:48:03
1
Jimmy :
hii ndo ilikua simba
2026-09-22 17:48:09
0
fred colman :
uwanja ulijaaaaaa!
2026-09-22 17:36:58
0
fred colman :
Walter bwallya mbn km alikua offside?
2026-09-22 17:36:11
0
Django :
hii game utopolo wote walishangilia timu la champions
2026-09-22 17:06:01
0
fred colman :
u Hebe arudi Simba, ni waZo langu, kama pape anarud! uchebe aje tu, Simba itakua hatariiiiii
2026-09-22 17:37:47
0
Noah mwasenga :
oho chama
2026-09-21 16:12:05
0
To see more videos from user @mwanasimbaj, please go to the Tikwm
homepage.