@fari___24_: Umeelewa nni kupitia hii KATUNI? #today #katun #animation #trendingvideo #fari__24

✦𝐅𝐀𝐑𝐈___24
✦𝐅𝐀𝐑𝐈___24
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 13:42:38 GMT
28520
863
38
29

Music

Download

Comments

hamad.malumbo4
Hamad Malumbo :
boss wako naye ana boss wake🥺
2026-09-20 20:24:32
0
jitoblaze
Ayman 1 :
Tusio elewa chochote tupo .....au nipo mwenyew🥴🥴🤔
2026-09-20 19:30:32
21
stoneart45
💎St💰ne_Tatt🏀🏀 :
nimejifunza huruma sio malezi kila mtu afe na msalaba wake
2026-09-20 19:43:41
9
kibombo177
kibo :
boss ana boss wake🥺
2026-09-20 20:34:22
0
halifa.said4
Halifa Said :
Inamaana kila boss na boss wake 😂
2026-09-20 19:16:23
3
evaristy_tz
evaristy_tz :
Kila kitu maishani ni jitihada za watu 🤭
2026-09-20 19:26:37
7
user5913028670176
user5913028670176 :
tafsiri yake nikwamba duniani binaadam wote tumeumbwa kutegemeana lkn pamoja na yote mtoa rizk ni Molla...
2026-09-20 20:22:12
2
denismaanga
Denis Maanga :
Scarcity of employment
2026-09-20 17:48:45
0
looney_ph7
LOONEY_PH :
mtu wa kiwango cha kawaida kuna watu watakuona wewe ni wa juu kumbe ni kama wao tu
2026-09-20 20:16:40
2
user5037072441083
fata mambo yako :
usitamani mafanikio ya mwenzako mana yana sili kubwa usio ielewa wala kuyaona mbeleni kunanini
2026-09-20 21:17:44
0
propercompany1
proper company :
Nimejifunza maisha yako ni siri yako,usipende kumwambia mtu vitu unavyo pitia anaweza kukudharau
2026-09-20 20:21:14
1
abubakarnoor31
abubakarnoor31 :
bora nimeipata nlkuwa naitfta htr 👀
2026-09-20 17:15:14
1
imani.nemes.matei
Imani Nemes Matei :
kuwa mtumwa muda wote usipat hata muda wa kupumzika
2026-09-20 21:15:11
0
its.tyler_7
Tyler✌️ 🇬🇧 :
duu aiseee
2026-09-20 19:15:52
1
jackymasawe0
jackyma :
wote tunaishi kwa kutegemeana
2026-09-20 20:28:53
0
user7906712609369
cut uw@ridy :
Maisha ayajawai kuwa sawa
2026-09-20 21:11:30
1
user2821343428503
🎀cenish✧goon🍭 :
mtu tajiri ataheshimiwa na kila mtu bali masikini atateseka na kumtumikia tajiri
2026-09-20 20:41:16
0
papybotto
patrick botto :
Kila mkubwa anamkubwa weke. Kila bos ana bos wake. Dunia inaitaj utendaj wa binadamu
2026-09-20 20:25:33
0
jitoblaze
Ayman 1 :
mwenye uelewa atufafanulie bc
2026-09-20 19:31:16
0
freeischoice
Exalted :
watu wasiokwao utumwani
2026-09-20 18:47:17
0
miss.lee1408
Miss lee :
maskini tunateseka sana asee 😂😂💔
2026-09-20 21:38:41
0
yusuph.godfrey2
Yusuph ,nails bunda🥰 :
aisee
2026-09-20 20:17:34
0
eddy.yusuf4
Eddy Yusuf :
ila kazi ya uyu jamaa sio poa🤣🤣🤣🤣
2026-09-20 19:45:48
0
eddy.yusuf4
Eddy Yusuf :
yan wanaofanya kaz nyumbn kwke wanajiuliza "bosi wetu anafanya kaz gan?"mana sio kwa kuuramba huku🤣🤣🤣
2026-09-20 19:50:05
0
sidekhan_7
Kimwaga Tz :
nmejifunza kuwa boss na yeye anaboss wake
2026-09-20 20:38:39
0
To see more videos from user @fari___24_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About