@pika.na.mimi: 🍞✨ MKATE WA UFUTA WA TUI LA NAZI 🥥🌿. 📝 Mahitaji: 🌾 Ngano — vikombe 5 🥥 Tui la nazi — vikombe 3 🥚 Yai — 1 (si lazima) 🥛 Plain yogurt — vijiko 2 (si lazima) 🍞 Hamira — kijiko 1 🧂 Chumvi — kiasi 🍚 Sukari — kiasi 🌿 Ufuta — wa kuweka juu #MkateWaUfuta #MkateWaNazi #Mapishi #MapishiYaNyumbani #PikaNaMimi
pika na mimi
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 13:48:16 GMT
Music
Download
Comments
Nazgal🍫🌸 :
habibty hapo kwenye chombo cha kuchomea umeweka mafuta au?
2026-09-20 17:40:15
0
Guzel :
Mashaallah TabarakaAllah yummy 🥰🥰🥰🥰🥰my favourite
2026-09-20 19:25:45
1
أحلام 🥀 :
mashallah so yummy 😋
2026-09-21 11:55:43
0
ÌĎÃHØMÃŘ :
shukran
2026-09-21 04:30:46
0
lailasalum383 :
samahani dada kwani huu wa mkate unatakiwa kuwa km wa kalimati ulaini wake, au
2026-10-01 06:45:46
0
hennabymaya1 :
unafanya kwa oda???
2026-09-22 01:20:48
0
Mrs T🥰 :
naomben msaada kama chuma kimegoma kutoa hii mikate mnafanyaje?mana mwanzo nilikua napikia vizur lakin ghafla tu kinagandisha.
2026-09-21 15:23:56
0
@Mrskhatib33 :
mashaallah Allah akulipe kheri
2026-09-21 14:53:05
0
MWENYE RADHI HASUMBUKI 🤲🤲 :
mashallah nilijaribu recipy yako zimetokea ajab
2026-09-21 10:12:56
0
cuttiepie786 :
Mashallah Mashallah
2026-09-21 03:30:32
0
@ummy ima :
🥰🥰🥰
2026-09-20 14:11:31
0
Mudakiungo27 :
Mashllh ❤️
2026-09-21 04:04:40
0
Islam Ali Ali :
Mashaa Allah Tabaarakallah 👌
2026-09-20 21:24:23
0
@lovely20152 :
MashaAllah
2026-09-20 16:07:09
0
Bala hatun :
2026-09-20 17:37:35
0
Mrsmohamed :
kwani hio sio ya chumvii eee
2026-09-20 18:24:14
0
Naj🌸 :
MashaAllah. uzito wa kando la unga kama kaimaiti ama huu mwepesi zaidi
2026-09-21 13:03:31
0
user7579509255138 :
mashallah
2026-09-20 18:09:07
0
lailasalum383 :
naipenda hii mikate ila sijui kupika naona naharib haitoki vizuri.
2026-10-01 06:46:40
0
Farha Khamisy :
🥰🥰
2026-09-20 14:57:41
0
NOVA :
🥰🥰🥰
2026-09-22 12:10:59
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm
homepage.