mimi sina mama wala baba wala bibi wala babu wote wametangulia mbele zahaki nifayeje?
2026-09-21 16:48:30
0
zinduna :
kaka mimi mwanangu anaumwa ugonjwa wa kuanguka kama kifafa au degedege nimetoa hela adi leo mwanagu ajapona na nilimzaa mzima adi jamii wananyali mwanangu nisaidie mwanangu apone adi sasa ni miaka 6 nashukulu anatembea lakin hali ikimuta kama ni wk ama sku 3 ivo halu chochote mpaka akae sawa.
2026-09-21 12:49:20
0
@1920512 :
nauliza,na,iwapo mama alitangulia mbele za haki ?nitasaidikaje ?
2026-09-20 22:29:16
0
fatush@ummy :
shukran 🙏
2026-09-20 21:15:03
0
venas moket kashindi :
asante kk
2026-09-20 18:21:10
0
Hassan thomas :
kaka mm sina swali kwakweli duuuh unaweza
2026-09-20 15:47:24
0
lightnessmmbando83 :
wazazi washakufa wote
2026-09-21 14:15:00
0
Suma Omary :
🥰🥰🥰
2026-09-21 12:11:33
0
angel nakapila :
🥰🥰🥰
2026-09-20 16:04:08
1
To see more videos from user @babu.abdalla.tiba, please go to the Tikwm
homepage.