@shabani_rapwi: Video inayomuonyesha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi (SACP) Jumanne Mulilo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, akisoma Qurani, imevuta hisia za baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Kamanda Mulilo anaonekana akisoma Surat Ash-Sharh (Al-Inshirah), sura ya 94 ya Qurani, inayozungumzia faraja, kuondolewa kwa mizigo na matumaini baada ya uzito. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameonyesha kuvutiwa na usomaji huo, huku wengine wakitoa maoni yanayomsifu kamanda huyo. Video : @mclasway. #trendingreels #trendingnow #trending #trendingsongs #SRSportsUPDATES #quran

Shabani Rapwi
Shabani Rapwi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 14:23:34 GMT
16244
730
46
19

Music

Download

Comments

jazila922
jazila :
Masha Allah
2026-09-21 05:52:17
0
user4186177245948
user4186177245948 :
Good good good mashaallah
2026-09-20 20:57:56
0
maryamshaha46
MARYAM S :
Alhamdulilah kwa kujumjua Allah mwenyezi mungu Akupe mwisho mwema mukhemiwa
2026-09-20 17:49:09
4
user3381280507936
user3381280507936 :
[Hands open]Allah Akbar Amin yarab
2026-09-20 17:57:37
2
tafaboys1234
Tafa Boy :
mungu akutanguliye kwakila hatuwa kamanda wetu
2026-09-20 16:15:04
3
mizaniherbaclinic
dr shabani afya clinic :
Mashallah mungu akuzidishie ishallah
2026-09-20 20:25:56
1
zuuu24315
zuuu :
kumbe halai ni kamishna jaman anasoma vizuri. mashallah na ndo maan hat wakimdhihaki huwag anakaag kimya anahaiba ya mungu
2026-09-20 16:45:33
1
fatumashaban652
Fatuma Shaban :
mashallah mashallah
2026-09-20 17:14:08
1
merculial1
mercurial :
mungu hadhiakiwi
2026-09-20 16:41:21
0
user4621796608795
user4621796608795 :
duhuuu mashallah mashallah hivi ni kweli Au Ai
2026-09-21 06:09:05
0
khamismwinyi772
Kh Ch M :
Aka jamani he
2026-09-21 05:03:00
0
mtamikechettar
user mtamike chata :
mungu anangalia moyo jaman namatendo tumuombe mungu atujaalie mwisho mwema
2026-09-21 04:51:24
0
user1097226885915
user1097226885915 :
masha Allah
2026-09-20 21:15:53
0
laza.food
laza food :
mashaallah mkuu 🥰
2026-09-20 20:11:56
0
uniquedeeyhoney
UNIQUE HONEY :
MASHAALLAH ....
2026-09-20 21:02:04
0
user7650018007771
user7650018007771 :
mashallah
2026-09-20 14:29:30
0
jazila922
jazila :
mungu azidi kukutunza baba anguuu🥰🥰
2026-09-21 05:53:16
0
tarikimuba27
TARIKI ALUMINIUM :
mashallah mashallah
2026-09-20 19:55:17
0
leylatotty44
leylatotty :
maashaaallah
2026-09-20 19:47:08
0
shaibuabasi1
user17719832069237 :
mashallah
2026-09-20 19:49:32
0
user3931687904184
Muba Sela :
mashallah 🤲
2026-09-21 07:56:56
0
lazia623
lazia :
mashaallah tabaraq allah
2026-09-21 06:48:43
0
sophiamsunge
Sophia Msung'e :
Mashallah
2026-09-20 19:53:43
0
nusurasalehe370
Nusura Salehe :
mashaallah mashaallah
2026-09-20 19:52:57
0
yasidually
💥Mr Yaa 💥💥💯 :
mashaallah
2026-09-20 16:09:46
0
To see more videos from user @shabani_rapwi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About