Acha Tu NikuFollow Niwe Nasikiliza Ukweli Mchungu Ambao Najifanya Sitaki Kuhusikia 🥹🙏🏾
2026-09-20 16:41:10
48
NAJI_EYES😉❤️🔥 :
Wallah mie Allah akinijaalia Mume ctak mamb mengi ile ya mskitini tu yatosha mashallah tuswali rakaa 2 za shukran 🥰🤲
2026-09-20 17:58:48
17
Cute girl :
Alhamdulilah hakuna cku nilikitahid kuchunga mipaka ya Allah kama cku hii niswali kwa wakati nilifunga ndoa nikiwa nina udhu ckuweka chochote cha bandia ktk mwili wangu na wakati mume wangu ananichukua nilivaa jalbab ya kisheria Alhamdulilah wa kumtii ni Allah na kwake tutarejea
2026-09-20 16:02:07
22
hiddenpetals76 :
Tukumbuke kumuomba Mwenyezi Mungu pia pindi atapotupatie vile tunavyomuomba atujalie kuviongoza kupitia yeye tusimsahau 🥺
2026-09-20 15:15:17
14
barkun🥰 :
allah atuepushe tupate ndoa za barak
2026-09-20 14:38:15
10
Swaum waziri :
mm bado hajanipa
2026-09-20 17:01:42
6
Khadier :
Hadi nimeku follow. Wallah
2026-09-20 19:09:13
1
Minah's :
😭😭,,,,,,, Ameen ya Allah forgive us
2026-09-20 17:22:26
1
mtsumi :
ma shallah
2026-09-20 18:10:10
1
# :
big up unajitahid kutukimbusha leo mara yangu ya kwanza kuandika comnent tik tok
2026-09-20 15:31:23
6
Maryam ibrahim :
Naomb mung anipe mume bora hakn mzk wowt yan duw kw sn mwenyz mung nijaaly 🤲🤲
2026-09-20 19:00:06
1
Aisha Ally :
I love you
2026-09-20 17:21:08
0
Sham :
ukumbusho Bora kabisa Shukran
2026-09-20 15:51:02
1
BINTI LESSO. :
well said
2026-09-20 16:01:27
1
Mkunjufu :
Madini aya kabisaaa
2026-09-20 16:49:11
1
shosho(SR)° :
bittersweet
2026-09-20 17:08:54
1
SekyNoor :
Nani ako ready tufunge simple nikah 😂🥰
2026-09-20 17:35:49
1
Almina Omary :
mashaallah nimekupenda kwaajili ya Allah
2026-09-20 17:35:04
1
Athy Yïlmaz :
Maandalizi yetu minawewe ya takuwa ya ki Dini bby🙈🙈
2026-09-20 17:35:06
1
AZZA MOHAMED :
mtihan san wallah
2026-09-20 15:34:59
1
💐25 January ♒ :
Mungu anijalie mume bora jaman i really miss my future husband lakini awe na hela tu😔
2026-09-20 16:59:04
1
Nuria Abasi :
sijui hata nikuambie nn kaka kipenz mm nasema shukran saaaana kwa funzo hilo🥰
2026-09-20 19:26:27
1
Zashy@Muslimgirl :
Allah atusamehe na aturejeshe katika njia ilinyookaa
2026-09-20 16:05:43
1
To see more videos from user @djibreels, please go to the Tikwm
homepage.