Me kikubwa nitmize jukum langu mengne waknifanyia watajua wao but i never ignore my family,,
2026-09-20 21:22:08
2
zainab yakub :
hao ndio binaadam
2026-09-21 02:46:46
6
kidoti :
ndugu, ndugu,ndugu, shikamoni sina hm na nynyi akaaa
2026-09-20 20:04:22
12
B~$quare outfits :
that's my mum it's so painful 😣😖
2026-09-20 18:31:02
13
🌲SMART🧑🏻💻 :
Mzee wangu Alifanya sana ivi lakin mwisho wa siku alipoanza kuumwa wote hawakuonekana mpk sasa ameshafariki lakini naamini mungu atamlipa pepo ya juu Inshaallah🙏🙏❤️
2026-09-21 00:15:53
12
peterkisunga :
kaka mungu yupo broo na bado mungu atakufunguria mirango
2026-09-20 19:04:16
20
revo_maspare :
hayo aliyapitia mzee wangu ilisababisha tuishi hovyo sana
2026-09-20 20:01:56
10
. :
Big up brother
2026-09-20 20:00:54
2
Israel Safnet :
Ndugu achekewiiii😂 eshi nawoo kwa akiliii😂🙏
2026-09-21 03:38:45
1
Lion Billioneire :
Mimi nawasaidia,wakiwa mbali,hata nnapoishi staki wapajue,hata kama tuko maji mmoja staki mazoea
2026-09-21 04:09:46
3
neema mwasomola :
Binadam aoooooo
2026-09-21 03:43:06
1
elia Thobiko :
ndo ubinadamu kaka
2026-09-21 03:39:31
1
HYPERBOYTZ 🖤 :
familia unayoitengeneza ni bola zaidi kuliko uliyotoka .....✍️
2026-09-20 20:04:10
6
Mchagga23 👑 :
daah brother
2026-09-20 19:40:48
1
tony boy 45 :
2026-09-21 03:15:25
1
Struggler man AY :
kaka usisahau Kam kutokuwa nahuruma nisehem yamaisha
2026-09-20 19:48:12
5
azzfsl :
bora ufadhir mbuzi kuliko binadamu arafu dunia sio mbaya binadamu ndo wabaya