@mkerewemedia: Mkazi wa Kijiji cha Bukombe Wilaya ya Bukombe mkoani Geita Power Mabula amejitokeza katika mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Geita Alexander Mnyeti uliofanyika kijijini hapo na kuomba kuingizwa katika kamati za usalama ili aweze kushiriki katika kuzuia athari za mafuriko na radi, kufuatia tahadhari ya Serikali kuhusu uwepo wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu.
mkerewe media
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 15:06:38 GMT
Music
Download
Comments
EDSON AKAMINKO :
IV MM Nianze lini ? kuwafulahisha content zanguh mtalike ?
2026-09-20 20:50:20
0
Mr Musa⛪🙏 :
zingatia I'm repeat again 😁😁
2026-09-20 21:58:17
0
Belishaza :
🤣🤣 I'm repeat again
2026-09-20 19:51:00
0
mwangosi :
Am repeat again
2026-09-20 19:15:20
0
Mwakalinga Ruben :
ajira ya muda mfupi
2026-09-20 19:38:10
12
Pety Marck :
Kwanin usingezuia watu wasiuwawe October 29
2026-09-20 19:17:26
10
Ghappiey.!😘 :
Hii inch hii 🙌
2026-09-20 18:50:32
0
mkushi no 3 :
a'm repeat again....koo asikilizwe
2026-09-20 17:53:27
8
Invalid :
Hapo Bdo Hatujapata Katiba mpya...
2026-09-20 18:10:23
5
@MILEMBO MILEMBO :
Nauliza nikowap
2026-09-20 20:29:09
2
mangi :
😂😂😂 achaa kututishia mzee wetu
2026-09-20 17:37:20
2
Bright :
kwan hakuomba ushauri hata kwa mkewe"I'm repeat again 😅😅🙌
2026-09-20 19:07:14
4
Robert Honey bee :
hapo mwanzoni nilitaka kumuamin ila hiyo tembea yake apo mwishoni imenipa wasiwasi sana
2026-09-20 22:13:45
0
Dr of chemistry🇹🇿 :
Mungu pekeake ndio mjuzi
2026-09-20 19:25:53
1
@official_Gm :
ila watu kwenye kujiamini😁
2026-09-20 20:16:27
1
BLACK 🍀 🍀BOY👑 :
me ndo huy nliepita hapo
2026-09-20 19:02:56
0
Dony Leonard :
alicho kipanga mungu hakizuliki
2026-09-20 22:57:56
0
Ethene jr :
since oct 29 bongo wote tumekua matapel hata kwa mawazo na fikra
2026-09-20 21:29:53
0
Elly deeply art painting 🎨💯 :
iyo leo hio Geita tena
Akabanga keinta bantu
2026-09-20 21:18:53
0
ashuu :
huyu ni uncle angu nimemuwahi
2026-09-20 20:43:30
0
Idris Marjan :
Hapo nilichoelewa tuu ni I'm repeat again 😂
2026-09-21 01:22:01
0
SUNDAR :
am ripiti ageen
2026-09-20 23:44:06
0
Godphaza Waitara :
👌👌
2026-09-20 21:04:42
0
Marnie94 :
Hazina ya taifa
2026-09-20 21:03:57
0
Mariam dede :
hiii ndo tanzania sasa
2026-09-20 21:21:53
0
To see more videos from user @mkerewemedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.