@mwenye.nchi: Mwamba aongeze sauti, back benchers hatujamsikia!!

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: ZA
Sunday 20 September 2026 15:20:20 GMT
120667
5473
121
123

Music

Download

Comments

emmaxendru1
emmaxendru1 :
Hahaha michezo hii😂
2026-09-20 19:18:25
0
jafali.mchina
jafary mchina💤 :
xnjvjcj Yan do I ya ski FB NC kh xxx kit sf
2026-09-20 18:17:57
0
njowelo6
Njowelo :
huyu anazunguka mno sema tupambanie katiba mpya
2026-09-20 16:34:56
60
lod33617
lod@33 :
dramatic only happen so be carefull
2026-09-20 20:05:12
0
side.boy752
Side boy :
mmmmh hii njia inatoka
2026-09-20 17:01:33
17
aloicy.mmassy
Mmasy🇹🇿🇺🇬 :
kwahy agombei tena
2026-09-20 17:11:26
9
user4672723158186hassan
Hassan kileo :
sema tu katiba sio dhambi
2026-09-20 16:22:46
30
s.m.s.sitta
S.m. S. SITTA family :
njia mbovu hata Uwe mvumilivu utaropoka tu huyu Mwamba mwiba unachoma maumivu yanapita
2026-09-20 15:39:06
28
amour.ging
Amour J Ging :
UTAWALA BORA ( HAKI UWAJIBIKAJI )
2026-09-20 15:59:21
16
alex.mosha04
Alex Mosha :
Kwa Sasa tabasamu ni vigumu msimdanganye nchi imenuna
2026-09-20 16:23:25
11
fredyndunguru70
Fred,com :
mmheshimiwa kaza watu wameanza kukuelewa
2026-09-20 16:09:11
17
user4590034068867
user4590034068867 :
kumeanza kuchangamka
2026-09-20 16:16:43
16
kelvin.hamisi
KELVIN NJELA :
katiba mpya tume huru kupunguziwa makodi
2026-09-20 16:52:29
4
leonardmagulu
Leonard legs :
kumekucha
2026-09-20 16:05:30
3
veranmkude
veranMkude :
chana tu mkeka baba angu Tanganyika niyakwetu,ni ndio hakutusimamia haki yetu
2026-09-20 16:51:03
7
mdudu116
mdudu :
nyimbo zote tutaimba ila viongozi wetu mpate uhuru wa kusimamia utawala bora mnahitaji katiba bora zaidi inayo kupa nguvu
2026-09-20 15:31:49
10
wizzyeddy1
Wizzy Eddy :
katiba haipingiki
2026-09-20 17:01:53
3
menchorange
Mencho :
Leo nimesikia kauli zakiume mkuu 🫡
2026-09-20 19:51:12
0
user4188031441508
DANIEL.. :
kidogooooooo. unaelekewa tunapotaka. hakiiiii, amani na uwajibikaji
2026-09-20 16:37:07
14
angelamatiya598
Angela :
Mungu akubariki na akuangaze roho mtakatifu wa mungu akuangaze ufanye yaliyo haki yanayompendeza mungu thawabu yako mbinguni baba
2026-09-20 16:12:20
7
shukuru4312
shukuru :
kweli
2026-09-20 17:04:44
2
vumilia.michael
Vumilia Michael :
😭makodi ya serikali kwa wafanya biashara ni mengi mno alitazame Hilo pia
2026-09-20 17:11:07
3
user209072322049
Elisa Elisa :
haki. Polepole atarudishwa na wote waliopotezwa watarudishwa kwa ndugu zao. uwajibikaji: rushwa na ufisadi vitakoma na kuwajibisha wahusika
2026-09-20 17:26:04
3
demonvoice89
MSALITI :
🙏🙏🙏 Babaaaa
2026-09-20 16:17:15
2
coseinkg
coseinkg :
serikali
2026-09-20 16:52:23
4
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About