shida yangu siyo kujuwa ni malaika au laa🥰
shida yangu unipe mbinu ya kuwapata tu🥰🥰
2026-09-21 04:14:03
9
G :
basi wangu ni malaika na shetan make nikiwaacha pamoja wanapigana😂
2026-09-20 20:09:19
34
Didi :
yani siku ingine dada wawekee camera ukija ukute wanakusema😂😂😂😂😂😂watoto wetu ni malaika
2026-09-20 18:39:10
39
Winnie :
Hongera sana
2026-09-22 14:11:49
0
flowergirl :
watoto wote wanaongozwa na malaika hata akiwa mmoja
2026-09-21 04:47:28
26
praisemaombi :
pale unapokuta umoja wao anakufa inakuwa amekataa kuidhi na nyingi na mwengine aliebaki amesema nitavumilia
2026-09-20 20:12:28
5
Mamy Shop :
kua makini dada hao malaika wanakusema Yan wanakusuuza vzr😂😂
2026-09-21 18:26:07
1
Team strong 💪🇹🇿🫶🇴🇲 :
hongera sanaa da zuu Allah akukuzie mabint zako
2026-09-21 19:54:42
0
mwanaidi en🐇🤗🫴 :
Kumb zinduna sio mtotooo🥰🥰
2026-09-21 11:49:52
1
pendo :
dada mshukiru mungu natamani mapacha jamani,,niambie dawa ndio nizae mapacha
2026-09-21 17:15:20
0
ZUHAM electronic :
Sio tu mapacha hata wakiwa mmoja mmoja ukawaweka wnyw huwa wanawasiliana wnyw kwa wnyw kwahyo sio mapacha tu ndugu
2026-09-21 08:56:25
2
stellah ❤️🇹🇿 :
kwan hujui watoto ni malaika mtoto yoyote nimalaika hata kama sio mapacha
2026-09-20 20:35:03
6
user12345🍷 :
Waoooh dada ongera kwa uzao wako mungu akutunzie na kukulindia piah kipenz
2026-09-20 17:11:33
17
Beautiful black👧🏾 :
najiungamanisha na hii balaka
2026-09-22 08:08:57
1
Mrs goland kids😘😘🥰🥰 :
Mungu nibariki na mimi biidhnillah kupitia hii mimba nilionao iwe kama miujiza kwangu japokua scan imeniambia ni mmoja ila naomba tuu Mungu iwe kama surprised nikijifungua nijifungue mapacha 🤲🤲🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-21 08:12:25
7
Ney💃 :
namimi napokea Kwa jina la yesu Ameen
2026-09-22 08:35:06
1
emmyG :
nilikuwa natamani sana mapacha ila toka nilivompata huyu mmoja niliyenaye mziki niliokutana nao Sina hamu tena😅😅😅
2026-09-21 16:00:56
0
Babe girl :
mungu awalinde zaidi amen 🙏 🙌
2026-09-21 04:23:20
2
magreth :
jamani mungu akubaliki sana
2026-09-21 16:40:24
0
rose :
mungu nipe namimi nione iyo raha
2026-09-21 12:22:21
0
Berita Erenesit :
ubarikiwe
2026-09-21 17:37:39
0
Ma Calvin :
Hongera nimewapenda
2026-09-21 05:29:26
2
ELPHACE PAUL :
wangap wanaamin huyu mama anaongea uongo
2026-09-21 10:34:53
1
To see more videos from user @dadazuu, please go to the Tikwm
homepage.