@re_truck: Hii ndio machine Mchina ameitengeneza kwaajili ya sehemu ambazo kazini Kuna kazi, Hiyo urusi unaambiwa huku unazikuta Shacman tu, wewe endelea kusema Mchina ni Copy. Walete hao wanasema Mchina sio lolote, walete malori huku. Matajiri haya malori yanaingia popote, hadi mashimoni. Kwa mahitaji ya malori mapya na used tuwasiliane Simu ZIITE: +255718166551 . . . #shacmanforsale #garage_africa #chinese_trucks #heavydutytrucks #retruckafrica
RE TRUCK
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 16:12:56 GMT
Music
Download
Comments
harthi :
hii mbona unaweza kwenda zanzibar
2026-09-21 07:04:49
20
user9023439361081 :
wap hiyo
2026-10-31 11:12:34
1
Empress👑Aira🌬 :
ije inivushe dhidi ya mahusiano yang
2026-10-30 07:58:36
2
SHEBBY :
Duuh
2026-10-28 04:41:25
1
~ MR.RAMAR ❤️💚💙 :
mm Kwa udeleva wangu apa apana weeh
2026-09-20 17:10:29
6
fisto💪💪 :
hii nayo tutaitumia kwenye elnino mzitunze izoo
2026-09-20 18:04:26
14
Hamisi juma :
mtu akiongeza maneno ya Quran roho inaniuma.sana
2026-11-01 13:03:31
1
Zb mnyabi :
alafu mwanao anacheza shule
2026-10-15 10:39:36
1
Ezekiel loisujaki lepayon :
hii inatufaa kwenye elinino kwakweli
2026-10-11 19:01:26
2
Man Mayanga :
hapo mchina alishindana na mjelumani mchina katoka SHACMAN mjerumani katoka MAN
2026-09-21 19:32:38
4
pascko Tz :
ahaaa saw yan et ndo nimekukumbuk
2026-09-28 15:17:03
1
Phyle Joshua :
Imenasa 🤣
2026-09-21 11:22:50
2
MASESE :
224201
2026-09-21 13:12:42
2
Yusuph chunya boy :
eshima How
2026-09-21 09:14:46
3
Mr Evance :
dereva kwa eshima
2026-10-11 12:44:14
2
paushsyliversteral@50 :
gusa umeme
2026-09-22 19:09:02
2
gengeskan :
izovitu za mchina ni tinga bana
2026-09-21 08:38:06
1
bonifasi377044 :
2026-10-05 16:58:57
2
mike :
Dunia simama nishuke siyo kw hv
2026-09-20 18:50:06
3
ramaduqs34e :
Bila shaka hata zanzibar inaenda hii
2026-09-21 06:03:28
3
route driver :
ila wachina washindane na volvo
2026-09-25 17:08:09
4
twahilchikawe :
new force zpo apew
2026-10-30 19:45:45
2
side :
Balabalan wanakatwa point hiyo shotcat 😂
2026-09-20 21:29:34
1
Special ID 🇰🇪🇵🇸🇮🇷 :
Jina enyewe PAPA MTU (shacman)😳😳😳
2026-09-20 20:02:42
2
MR, POWER :
wewe nisha kurekebisha unakosea iyo aya sio (ankatwa) maaluhu inatamkwa inkatwaa maluhu
2026-09-21 12:04:59
1
To see more videos from user @re_truck, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.