wakati wewe unaonesha mfano glas ya kati inakua inaangalia juu na mbili za pembeni zinaangalia chini ila wakati mshindani wako anapoanza kufanya challenge glas ya kati inakua inaangalia chini na mbili za pemeben zinaangalia juu haiwezi kua 😂😂😂😂
2026-09-20 19:27:50
41
BOOM SHAKALAKA :
hii ndo milioni chache kuliko zote Duniani 😂😂😂
2026-09-20 16:49:57
7
muharibifu jr :
unawatrick wenzako kaka we unafanya grass1 imeanagalia juu wenzio unawapa mbili ziangalie juu
2026-10-29 12:11:39
3
Likwanda Amour :
Mara ya kwanza glass zilikua zinaangalia chini hivyo zikiwa zinaangalia juu hauwezi tena kuzibakisha kuangalia juu kwa move3.
2026-09-20 18:57:18
9
maka boy.47 :
bro milioni moja kweli iyo mbona kama sijui ela izo zitakumi milioni ngapi
2026-09-20 18:51:01
6
It's_Really icon 👑 :
oy kak mimi naweza mimi naomba challenge
2026-10-26 17:56:52
4
Hazanluck04 :
we umemzunguka na uyo jamaa hajashtuka🤣🤣
2026-09-20 18:15:48
2
D empire :
mbona nirahisi sanaaa
2026-09-20 18:42:35
2
MATUPA GENIUS 45,,✌️ :
#uyo kafanya ujanja iyo ya kati aliifunika wakat step ya kwanza aliifungua
2026-09-24 05:39:37
2
Siao boy :
mbn rahis ivy
2026-09-30 11:55:26
0
Anderson Yohana :
naweza
2026-10-08 11:57:52
0
dee pelissi :
hio ni milion kwer
2026-09-20 18:42:43
1
Ramzur f2 :
skia bro ..katka huo mfano ,, unaotoa fanya Glass ya kushoto na ya kulia ziwe juu na hiy y katikati nd iwe chini alfu toa mfano sas
2026-10-14 12:23:15
1
amili :
mimi naweza alafu wewe umemuwekea vibaya na wewe weka kama ulivyo muwekea yeye
2026-09-26 05:23:39
1
Dûlly~boë👻 :
Mimi naweza
2026-10-18 13:00:28
1
☠︎︎𝕹𝖔𝖈𝖙𝖞 𝕽𝖊𝖝𝖃☠︎︎ 👑🔥 :
Nashundwa kuelewa
2026-09-20 19:29:11
2
chuli Mastar 55 :
daaaa jamaa mzembe unapatikana wapi nije
2026-09-20 20:40:17
1
chuli Mastar 55 :
vizuri tuuuu
2026-09-20 20:39:33
1
Bens :
mbna kazi rahisi sana iyo
2026-10-31 19:12:31
0
MWENJUMA KOFIA :
mbinu iliyotumika ni mwanzoni Tu hapo glass mbili zilifumikwa na yeye wakati anafanya glass Moja ndo imefunikwa hapo ndo inakua ngumu
2026-10-24 14:35:09
0
@_ashmeed_47 :
mm naweza kaka nipo tayari
2026-10-27 12:37:33
0
venocyber :
kwani sahivi million ina elfu kumi ngapi
2026-09-20 19:11:24
1
Mohamed Nkindwa :
unewekaa tofauti na ww ulivyo fanyaa
2026-10-30 07:55:31
1
kelvoogr :
angalia vuzuri alivyo weka na mara ya pili
2026-09-21 10:10:55
1
To see more videos from user @tc_vency, please go to the Tikwm
homepage.