@gideon_kulawa: MWONEKANO WA KANISA LA ASKOFU GWAJIMA, LINABEBA WATU WENGI KULIKO MAKANISA YOTE TANZANIA

Gideon Kulawa
Gideon Kulawa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 16:42:15 GMT
33549
2002
84
86

Music

Download

Comments

user2678874817391
Jennie jay :
ameeeeeeeeeeeeen
2026-10-07 12:08:48
0
wachimbaji_visima1
WACHIMBAJI VISIMA TANZANIA✅ :
Kuna kanisa lipo kwa mwingira hapo mwenge ni zaidi ya arena
2026-09-20 18:38:06
8
bayyo.gabby
Bayyo Gabby :
nampenda baba Askofu Gwajima na namfatilia ila detels zake haija kaa sawa kama anataka jengo kubwa kuliko lolote aje Dodoma eneo linaitwa mnada mpya aje aone kanisa ambalo uwanja wa mpira ni chamtoto na uko Tanzania hii😂😁
2026-09-20 18:05:11
11
elizabeth.mehmet01
elizabeth :
woow pazuri sana
2026-10-01 16:25:22
0
samoraluoga378
Nabaki Ulaya :
Lakini mimi nina swali, kwanini makanisa ya ulaya wanagawia maskini chakula, nguo na misaada mingine kuliko makanisa ya Africa. Africa waumini maskini ndio wanamchangia mchunga mpaka anakua tajiri kupindukia?
2026-09-29 01:16:13
0
stefano.sinderi4
Stefano Sinderi :
ni kanisa la Yesu Kristo ama la askofu gwajima
2026-09-26 08:28:39
0
doctor4863
SUDDY TELLE(MORE FIRE) :
nakupenda sana Baba yangu wa Imani umenivusha pagumu Sana ctokusahau
2026-09-26 05:11:35
2
anduru147
am14578 :
Kakobe alivyojenga lake enzi lilikuwa kubwa kuliko lolote Africa mashariki akajitosa mambo ya siasa za upinzani likasinyaa na waumini kupungua kuchoshwa na kiongozi wao kujikita kulumbana na serikali kutwa badala ya kuhubiri injili Mwingira na Gwajima wamejenga makanisa makubwa na kujitosa siasa za kuunga mkono upinzani Mwingira akaibukiwa na wananchi kuwa kapora kiwanja na ardhi za wananchi kuanzia alipojenga nyumba ya kuishi hadi miradi yake Sumbawanga hadi benki aliyoanzisha ya efatha bank ikafungwa kuwa inaendeshwa ndivyo sivyo Gwajima kujitosa siasa kaponza waumini na viongozi wake wengi kuumizwa sana sababu ya mafundisho potofu yake yaliyojaa siasa walipoyafanyia kazi wakaishia kubondwa na kuumizwa na vyombo vya dola yeye akiwa katoroka na dela kwenda kujificha sehemu salama yeye na familia yake akiwaacha waumini wajijue wenyewe anyway tuamini labda sasa atajikita kwenye dini zaidi wakati tukiendelea kusikilizia tume ya Jaji Lila inayotafuta vinara waliosababisha ya october 29 tusubiri viongozi wa dini kama akina Gwajima,Kabigumila, nk kama watakuwemo au la ili wakutane na msumeno wa pilato mahakamani subira huvuta heri
2026-09-23 12:36:18
0
sabinachisunga1
sabina :
wapi uko baba?
2026-09-20 16:50:28
0
diana.lemah
diana lemah :
naomba Mumgu anipe kibali chaku kwenda exra mile
2026-09-20 19:02:01
0
edr95760
EDR :
Nimejikuta nakumbuka kanisa la Lakewood linaloongozwa na pastor Joel Osteen, linachukua watu 20,000 miaka 5 iliyopit na pastor alikuwa maarufu mno.. Sasa hivi linawaelemea maana kizazi kimebadilika...hawafiki tena hata watu 3000...
2026-10-03 13:38:39
0
frank.mahende4
Frank Mahende :
Ni saa ya ufufuo na uzima
2026-09-20 17:34:07
7
mtinda58
mtinda💫 :
na mm nitakuja kuteka barakaza hapo jaman nampenda sana askofu josephat sanaaaaaaa🙏🙏🙏🙏
2026-09-20 17:26:37
4
user4020695612382
chrispin kalonda shabani :
YESU NI BWANAAAA 🥰🥰🥰🥰🥰sifa kwake
2026-09-26 10:30:14
1
afya_yako_dr_sila
dr_silajulius :
Nitakuja nikiwa DSM
2026-09-20 17:40:56
1
petro.faida
Petro Faida :
Amen
2026-09-30 20:09:33
0
whitedove_college
WHITE DOVE COLLEGE. (ARUSHA) :
CONGRATULATIONS
2026-09-29 07:48:33
0
jamesmagwisha
James John Magwisha :
Amen,siku Moja nitakuja kuabudu hapo,huwa namfuatilia sana Pst. Gwajima, na team nzima ya praise
2026-09-20 17:42:48
1
jeanninedusabe4
jeanninedusabe4 :
ameeeeen baba, mungu apewe sifa, nawapenda nikiwa congomani,
2026-09-20 17:09:53
1
user6587291169737
drama queen😍 :
tukikumbuka tulikotoka kuambatana kwetu kunaongezea hakika hata sasa bwana ameyusaidia
2026-10-07 07:49:28
0
dismasdaud2030
pedri :
asante Mungu
2026-10-02 18:45:15
0
elishasikawa776
Elisha sikawa :
MUNGU AWAONGOZE ASE
2026-09-27 18:10:45
0
dismasdaud2030
pedri :
amen
2026-10-02 18:45:07
0
fortunatamfinanga
fortunatamfinanga :
Amen 🙏
2026-09-28 09:04:02
0
monikahusein2
monicah@levels :
UTUKUFU KWA BWANA MZEE UMEWEZA 🫡
2026-09-26 20:28:21
0
To see more videos from user @gideon_kulawa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About