Bas wazee wa Zamani wote walizaliwa nje ya Ndoa... 😂😂
2026-09-21 07:30:58
5
user1140526193750 :
ndoa ni za aina ngapi? kimila,kidini na kiserikali
2026-09-21 12:38:38
0
my angel :
kaka niko na shida na huyo wakil jmn
2026-09-21 07:01:20
0
mrs kitago :
je ndoa isiyo na ridhaa ya wazazi ni halali???
2026-09-26 14:03:53
1
Unlimited bidhaa kariakoo :
kwan kuna shida gani?
2026-09-20 19:11:37
1
shantelaiden :
adam na eva. walifungishwa ndoa na nani na MUNGU kwahio anaefungisha ndoa ni MUNGU sio mwanadamu so ukitolewa mahari na kutambulika kwawazazi wakakupokea tayari ni ndoa Sababu imefungwa na MUNGU soma biblia
2026-09-21 13:32:39
0
Aggie B wear collection :
sasa ndoa za kimira(traditional wedding) ndo nn kama mahar so ndoa???
2026-09-21 21:45:25
0
WinniLiam :
asante
2026-09-20 20:11:33
0
Kenzie :
very true
2026-09-20 17:59:05
1
roses :
Leo wakili Kapendeza au mnasemaje
2026-09-21 11:45:10
0
Robbysuperbeans :
True
2026-09-21 06:17:41
0
MWALIMU WA TANZANIA - WOKOVU :
kwan sheria ni mawazo ya watu au walisikia sehemu wakarasimisha kuwa sheria ??
2026-09-22 16:03:33
0
David##💞 :
mnachanganya watu ndowa ni kitendo chakutolewa mahali na kukubalika kwa wazazi wake kanisan ni ushaidi lakn ndowa ni makubaliano ya pande zote mbil
2026-09-24 12:20:04
0
Neejah :
Asee
2026-09-20 17:27:04
1
Neema za Mungu :
Kifua kikuu
2026-10-02 13:59:45
0
George N Mollel :
😳😳😳
2026-09-21 15:55:34
0
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.