kuna mwenye ananiambia hapo usipojipanga utatoka hapo bure
2026-09-22 09:25:34
14
Wambui Muriuki :
🤣🤣🤣🤣nko ten yrs but me huambia mtu aende kwa ofisi
2026-09-20 19:18:32
9
Dæggy Orende. :
Mimi naambia watu huku nimekuja kushikilia tu😂😂sai naelekea 5 years hapo😂😂
2026-09-23 13:51:55
5
JIPRIL SIDIBE :
ati tafuta kazi hapa hakuna future? hata cjakuelew
2026-09-23 19:33:18
1
sarah :
a wise person learns from other peoples experience
2026-09-20 18:37:34
7
meshack :
niliambiwa Ivo postbank na mtu ashafanya more than 30 years,,,ety omba sana usiandikwe kwa hii bank 😂😂
2026-09-22 18:25:47
9
betzy❤️ :
cheeers to wenye wanatuambia tuvumilie hakuna place poa
2026-09-22 05:16:04
19
ding ding :
mm nliambiwa pesa ya io kampuni huwezi fanyia nayo kitu na apo dipo nlianza ulevi 🤣
2026-09-22 18:22:51
4
Steve💉 :
Bona unaniattack ivo
2026-09-21 13:49:25
3
Poca luz :
mwingine aliniambia mm hii kampuni Ina nuks na pesa zao wanafanyia uchawi kabla upewe ndio isikisaisie
2026-09-22 19:40:35
0
Tinah🥰🥰👌 :
itandepent na salary nalipwa,
2026-09-22 14:10:27
1
Dénnis Rono. :
Mimi kuna kazi nilipata my colleague akaniuliza na uko na familia unawalisha🤔Sijawai kanyanga hiyo kampuni mara ingine😏
2026-09-23 19:10:26
0
sarah sam😇❣️ :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 21:17:28
0
lornah kaptum :
mimi niko zaaaaa hapaaaa hapana next utanipataàa niendee wapiiii mimiiiiii😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣☺️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 11:37:50
1
pauline@@@morash :
it's real walai ..mm nishaambiwa kuwa nitafute hao nyingine juu huku sitaweza madam Hana maana saa hii Niko huku na yy pia Ako na ameongeza contract ya mwaka moja
2026-09-20 18:17:24
1
@nyamiraboy046 :
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi hapa nimekuja kushikilia Tu sai nimefanya ni mwaka WA nane 😂😂😂😂
2026-09-23 16:18:05
0
Reborn🥸🤍 :
2026-09-21 02:28:56
0
Dashan Echaro :
2026-09-23 14:56:26
0
Caroline nekesa :
Ni mbaya sana 😂
2026-09-23 11:01:28
0
Makundi Calvin :
Nomaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-23 17:54:52
0
Wesoc Sango :
kweli kabisa
2026-09-23 19:14:26
0
Geoffrey Loliman :
banaa🤣🤣
2026-09-23 13:58:29
1
MR PRICE KE :
Walai🤣ama nimtag
2026-09-23 14:37:13
0
the big Ben :
Noma Sana
2026-09-23 16:05:35
0
To see more videos from user @tonnymurila, please go to the Tikwm
homepage.