jamaa kasha mchoka mwanamke sema alikuwa anamtafutia sababu ujue mtu ukiwa unampenda ata akizingua pakubwa unajikuta unakosa nguvu yakumchukulia hatua dada ajiongeze mapenz yashaisha apo
2026-09-21 04:02:54
92
stellah ❤️🇹🇿 :
mimi kuolewa bado sana 😅
2026-09-20 20:31:45
58
Bigfish🐋 :
Kitu ambacho mnashindwa kumwelew ni kwamba kupata mpenzi mpya ni rahs sana kuliko kupata simu mpya😅
2026-09-21 04:15:19
56
lee :
ooh my gwadeee
2026-09-21 09:12:25
0
baby_nana :
kwa kina ndoa moto jmn[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-21 06:35:53
0
SIDE OG💀 :
mbon kama contact
2026-09-20 20:04:19
16
rehema :
2000 hii hiii
2026-09-21 09:13:51
0
Official _Keyver ❤️🩹❤️🔥 :
Kuna mtu kasema mbona kama contact 😆😆
2026-09-21 01:09:26
15
foxgujubangturn4 :
Ukivunja i phone yangu ukoo mzima mtalipa😂😂😂
2026-09-21 03:44:09
12
smart boy 06 :
mbn zangu zimevunjwa zimefika tano 🤣🤣
2026-09-20 20:11:43
14
Nippa niiima :
ndio maana mimi kwakina NDOA nikija kuingia labda nisukumwe na upepo wa ELNINO
2026-09-21 08:04:17
7
happy rocky :
sijui nifanye nn ili niwe maarufu
2026-09-21 05:33:53
11
꧁༺✨ 𝕄𝔸ℍ𝕀ℝ𝕌ℕ 𝕊𝔸ℍ𝕀ℕ ✨༻꧂ :
Kwani hii movie au[Big LOL][Big LOL]
2026-09-21 09:30:49
0
Mclamar_arts_and_decor :
Kwaio akivunja simu Kodi ya meza itaongezeka???
2026-09-21 05:36:03
6
NASSERI :
hii movie nzuri next
2026-09-21 06:34:14
1
G4real :
Hii move inaitwaje
2026-09-20 19:27:30
5
fellow :
amepata mwanamke ni mke akimuacha atajuta maana kavumilia mengi