@sheikhnurdeenkishk: Nini hukmu ya kutupa karatasi yenye Aya za Qur'an? ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako
Sheikh Nurdeen Kishk
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 19:05:18 GMT
Music
Download
Comments
It’s ftm🦋 :
Kwa uelewa wangu natakiwa kuichoma moto na si kuitupa
2026-09-20 19:36:43
0
rahmasenga :
inshaallah
2026-09-22 18:24:36
0
rama jr :
shekh ume like tu naomba unipe jibu kama iswihi au haiswihi nifahamishe hilo shekh wang
2026-09-21 11:33:51
0
dayna 💘 :
جزاك الله اخيرا
2026-09-21 05:01:56
0
said mpil :
Allahu akbar 😭😭😭
2026-09-20 20:06:08
0
kanjanja_ :
subhanaAllah
2026-09-21 04:29:15
0
subira yamungu :
huo ndo ukweli sheikh huna mambo ya kupanda pinda Allah akuhifadhi
2026-09-21 07:53:35
0
Hussein Mcheke :
shekhe allah akupe umuli mlefu unanielimisha sana
2026-09-20 22:14:20
0
uthman_ibrahim_alqayyim :
naam
2026-09-20 19:09:05
0
kulwa saidi :
allah tujalie mwish mwema
2026-09-20 20:31:01
0
dayna 💘 :
مشاءالله مشاءالله مشاءالله تبارك الله
2026-09-21 05:00:29
0
rama jr :
shekh je ni sahih kuitia moto kwa karatasi silzo choka ambayo maandishi haya someki tena ? naomba kufahamu ilo
2026-09-21 09:38:43
0
dayna 💘 :
جميل جدا
2026-09-21 05:02:05
0
Hussein Mcheke :
shekhe natamani sikumoja nikuone laivu moyo utafulahi mm niko kigoma nakupenda kwa ajili ya allah
2026-09-20 22:11:36
0
dayna 💘 :
Allah akupe Afya njema na umri wa kheir mrefu uzid kutupa dawa tubadilike tujitahid kuacha mambo mabaya na tujitahid kufanya mema
2026-09-21 05:08:58
0
user🤗🤗🤩😘Mwachawa🖕🖕 :
ᵏᵘʰᵒᵐᵃ ᵐᵒᵗᵒ ʲᵉᵉ
2026-09-20 20:38:55
0
To see more videos from user @sheikhnurdeenkishk, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.