Nilikuwa naishi maisha mazuri sana kabla ya kumpenda mtoto wa mtu, nilikuwa naishi kwa raha sana bila hata ya stress wallah, sijui ni nini kilinisibu mpaka nikazama penzini, sasa sina raha ya maisha kabisa naona dunia yote inanielemea wallah, hakika mapenzi ni adhabu kali sana eeeh mwenyezi Mungu nipe afwani na haya mapito ninayopita 🥺
2026-09-21 23:18:15
14
mamy rey 🥰 :
Natamn na Mimi niambiwe hivi ila sasa wote wanao kuj kweny maisha yangu ni waongo t
2026-09-22 06:23:07
5
@broken soul💔 :
Me nae kuamini mapenzi sijui mpaka nini kije kitokee kwakwel💔🙌
2026-09-22 06:04:44
3
🌸H"A"B"B"I"E🌸 :
me?
2026-09-21 11:29:03
2
V🍃💕 :
My man🥹❤️🫂
2026-09-21 23:42:09
1
💗mtoriiy🎀 :
Ndo wanavuosemaga😁😂
2026-09-22 09:11:19
0
Dee :
Labda milele ya yesu kristo
2026-09-22 08:41:38
0
Abduly kidary :
2026-09-22 09:30:13
1
Ham boy!!¡¡$ :
ila mm niliambiwa hivyo leo nipo mwenyewe yapata miez9 sasa
2026-09-22 04:44:31
0
ommy_🥹 alone 🚨 :
aiwahi kunambia hivyo Leo YUKO wap Sasa😭😭🥹🥹
2026-09-21 18:20:50
0
MSS :
👍
2026-09-21 19:54:46
1
Bravado :
kwa yeyote alieumizwa mpk anasem hatopenda tena, Wallahi nawaahidi Allah ameweka sahau for a reason...utapenda tena na atakuja mmbora zaidi❤
Kuamin mtu kwasas ni ngumu sana, nilipgwa heartbreak kali sana kam movie movie ila ndio uhalisia, pia mungu anisameh maan tangy apo nipo kam mwanaume kuanzia mavaz hado tabia ila sio lesbian japo mungu hapend ila ilinibid tu but soon ntaheal inshallah 💔😔
2026-09-22 11:09:47
0
𝐇𝐄𝐈𝐒_𝐐𝐔𝐀𝐕𝐎_10🥷👑 :
@🍀babe💃🏽Tee🌸 Ue 😁 ❤️🪽
2026-09-22 07:13:31
0
DA BRINAH🦋❤️ :
@🦋❤️ si unajua jins navyokupend eenh😒
2026-09-21 21:12:56
1
malkia :
@baba shaimah key cutting 001 [Heart eyes]
2026-09-22 05:39:16
1
To see more videos from user @honeybee8578, please go to the Tikwm
homepage.