@honeybee8578:

Honeybee
Honeybee
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 19:59:35 GMT
73263
4702
1336
157

Music

Download

Comments

bertha.aman
🌚🌚🌚 :
Mmewangu kuwekwa gerezani na kuniacha na mimba miezi mitatu siku nilikuwa namtembelea kila wiki mimba imefika miezi saba naenda kumtembelea naambiwa hakuna mfungwa wa jina hilo mara amehamishwa gereza nimeftilia mpaka nimejifungu bila mafanikio wala kujua nn kinaendelea binti yangu saivi Ana miak 11 hamjuw baba wala upendo wa baba na akiniuliza huwa sina cha kumjibu najikuta nalia tu yeye ndyo anabaki kunibembeleza tena nahisi walimuulia gerezani Mmewangu na wakamzika hovyo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-23 19:05:45
279
beatrice.joseph163
Beatrice🥰🍓 :
kukosa baba toka nikiwa mdogo mpka nakua simjui baba hata jina lake silijui na yupo hai 🥺🥺🥺
2026-09-23 07:37:01
219
rammykandra
Rammy Kandra :
PLAY🙏 ALONE FAIL😔 ALONE WIN😁 ALONE Mind it
2026-10-02 00:40:13
0
carlos.de.juniors
Carlos Ric.Junior :
we got a lot to speak 🗣️out,,hapa naona space ndogo sana but we let everything pass though leaves with a remarkable situation 😞
2026-10-02 18:04:24
0
anyesjacob1
anyesjacob1 :
Mtoto wangu alifariki gafra nkaambiwa mimi mchawi nimeua mtoto 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔dah
2026-09-23 17:39:58
83
user8006191124212
Jannelle Mbolea& fashion beaut :
nilikuwa nafanya kazi nalipwa mshahara 100,000/ boss wangu akawa ananichukia bila sababu sasa siku moja ilikuwa siku ya mshahara nikakuta akaniwekea 40,000/ kwenye bahasha afu akanifukuza kazi nakumbuka ulikuwa mwezi wa 8 mwaka 2025 mwezi huo ilibidi nilipe Kodi gas imeisha nawalea wadogo zangu wawili hatuna stock ya chakula ndani afu mtu ananipan40,000 nikamuuliza mbona umekata mshahara wangu akanambia Kuna siku ulichelewa badala ya 7:30 asubuhi ulifika saa8:15 nikamwambia nilikuwa kwenye doze ya sindano nilikuwa naumwa ndo nilichelewa hospital, basi ikabidi na Ile 40,000 mimrudishie alinifukuza kwenye kipindi kigumu kwakwli nililia sana iyo siku wadogo zangu wakawa wananitia moyo nililia sana, badae akamfukuza na rafiki angu ambaye tulikuwa tunafanya wote kazi ety kisa kanipigia simu kunijulia hali maana nilikuwa kwenye wakati mgumu basi akaja nayeye tukaanza kuishi wote ila hatukuwahi kulala Wala kushinda njaa badae Mungu huyu acheni aitwe Mungu sijuhi hata ilikuwaje nikafungua duka langu maana nilikuwa na uzoefu na biashara ya pembejeo za kilimo maisha yakasonga mpaka ety namimi nimemuajiri mtu lakini kamwe siwezi mfukuza mfanyakazi wangu bila sababu ya msingi au kukata mshahara wake kwanza Mimi namuachiaga duka hata miezi miwili sijaenda nipo ofisi nyingine
2026-09-23 07:08:05
261
mkongomadobe
shabani TZ🇹🇿 :
kinacho niumiza mm sijawahi pendwa popote naona nikama ulimwengu mzima ivi aunipendi natamani nipate walau ata mtu wakiniliwaza tu,😭😭
2026-09-23 06:22:49
80
hasina.ramadhani
Hasina Ramadhani :
😥😥kitu ambacho kimeniumiza sina mtoto adi sasa nanimeachika ndoani kisa siwez kuzaa mimba sipati hosptar nimeenda dawa zamiti xhamba nimekunywa bado ngoma ngumu kwangu ndugu wamume wang adi ndugu zangu wakinisema sizai mda mrefu nko ktk ndoa naxhindwa chakujitetea naamua nikae kmy nandugu wamume wangu wakojuu wakimxhauli aniache kisa sizai 😭😥😥 adi leo naumia saaaana nikikumbuka nampaka sasa mtoto sina 😥😥😥
2026-09-23 18:31:43
69
camawowo
James :
kitu ninachoniumiza na kuninyima Raha yangu NI kwamba nalazimika kuishi Miaka Mingi Bila kwenda nyumbani sababu me ni first born na jukumu langu kubwa ni kusaidia familia yangu na ukoo wangu kwenye kutoa umaskini wao sometimes nawamic nyumbani ila ndio hvyo tena siwezi kwenda home mikono mitupu nawamic Sana familia yangu na watu wanyumbani sometimes naumia Sana ila mtoto wa kiume sina namna zaidi ya kupambana naamini Hipo siku nitarudi nitawakuta wakiwa salama maana kuna wadogo zangu wamefariki na hata sijawahi Waoana kwa kweli naumia Sana 🥹 🥹🥹 natamani nifanikiwe nichukue familia yangu upweke unanitesa sana
2026-09-23 11:10:08
46
cute.lizzy07
💍cute Fathiya 😍 :
kufiwa na mamayangu mzazi 😭😭😭
2026-09-21 20:30:02
29
asminissah2
Assuh❤️💘🍓 :
Nilipewa Taarifa za msiba wa mama angu nipo kwenye chumba cha mtihani💔😭
2026-09-25 20:31:53
10
ladychully
it's Chully❤️‍🔥 :
kuona watu wangu wakaribu wananyanyasika kisa umaskini mbele ya macho yangu🥹 dah hii situation inantesaga sana ni zaidi ya maumivu kwangu💔🙌 ila nseme inshalaah tu ipo siku🙏
2026-09-23 14:04:40
31
jullie9585
Jullie🥷 :
ndugu zangu kujenga makabuli yoteee wakalitenga la mama anguu🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-09-30 22:21:22
5
a.lawyer19
A lawyer :
Kuna mtu anaweza nikumbatia tafadhali ama mtaniacha niendelee kulia2 😭😭😭😭🙌🙌
2026-09-23 20:41:23
16
majayden62
@cute :
mimi natamani nipate sehemu tulivu nilie kwa nguvu nayopitia sitaki mtu yoyote ajue yaliyomo moyoni mwangu nina maumivu makali basi tu mungu nitetee💔
2026-09-25 16:10:58
11
yang.malik1
malik msuya jr :
K2 ambacho kinaniumza sn na kinatakiwa kituumize sote ni kwamba leo tupo hai kesho tumekufa tutamjib nn mungu kwahio tufanyen sn ibada tuache maasi dunia ina mwisho lazim tutakufa tusidanganyike na maisha haya mafup ya dunia ndugu zang) Allah akbar
2026-09-23 08:26:27
29
user459131457002
Mishan :
kuishi kwa ndugu masemango sana napambana niwe na pesa nikijaaliwa uhai nikimpata watoto niwalee mwenyewe inshaallah 🥹
2026-09-23 17:27:05
30
maulid.cosmas
Anko mau :
baba na mama wamefariki nikiwa chekechea ,nimelelewa na mama wa Kimbo miaka 3 Kisha babu miaka 5 babu akafariki wakanilea majirani zake na babu mpaka kujitegemea mwenyewe
2026-09-28 08:51:02
13
habiba.hamza68
𝓱𝓾𝓫𝔂✨ :
baba yangu kumtelekeza mama yangu na kumfanyia ukatili ingalikua ni mjamzito wa mimba yangu.
2026-09-26 09:28:48
5
suley....2712
Suley... MJ...🥋 :
mama yangu namuona anaanza kuwa mzee na sijamjengea nyumba...na nina kazi ya serikali...nimejizuia kuoa ili nimjengee kwanza...ila mara kwa mara narogwa kurudishwa nyuma roho inaniuma sana
2026-09-25 06:29:58
5
kang.joing7
kang joing :
kutojua jina la mama Wala baba na kutokuwajua kwa picha Wala kwa kitu chochote kile na kutojua walizikwa wapi kiujumla ninamengi San nimeachikia kwa mungu akuna kitu kinauma kama kushindwa jua taalifa za wazazi wako tangu 2009 mpka Leo 2026 sijui kuusu ndugu wa mama Wala ndugu wa baba Yani sijui hata nikifa msiba wangu utakuwa wapi Nina Mika 27 sijui kama nilikuwa Nina ndugu au nilizaliwag mwenyew Yani sijui chochote kuusu ndugu zangu piya walionilea walinile kama mfanya Kaz wawatoto wao niwapikie wale niwafulienguo za shule niwaze jion nipike Nini wale na walikuwa wakubwa wengine wakike nisipofanya hivyo nilikuwa nakutan na adhabu ya fimbo ambazo hazina idada kabisa maisha niliyo yaishi mm sitaki kuyakumbuka ila Yana umiza sana na mateso juu yake
2026-09-21 15:21:22
190
lucaspodo71
lucasjonas71 :
siwezi ata kuandika lakini yote Kwa yote endelea kupumzika Kwa amani kaka Abdul Yani Mimi sikuwa ndugu yako lakini kukutana kwetu kulifanya uishi na Mimi kama mdogo wako nilikuwa nasoma chuo unanichangia ada uliondoka ukaniachia machozi mengi sana ambayo sijui ni lini yataisha Sina kazi Kwa sasa na Sina kipato ila nakuahidi nikifanikiwa na kupata kipato nitaishi na mwanao isco😭
2026-09-29 19:50:56
5
chimamyyissa
chama baby❤️❤️ :
sina bahati kwa watu na kukosa furaha ndani ya moyo wang
2026-09-21 05:26:18
59
athuman.chakwawa
Athuman Chakwawa :
niliumia sana father' yangu alipo tuacha na kuanza kupewa majukumu kama mimi ndio nitakae kua mkuu wa majeshi wa kuwaongoza wadogo zatu,, wanao soma pamoja ma mama yangu,,, kumbuka apo ,,sikuachiwa,, kijiko,, kiwanja ,, nyumba au ata shamba la ulithi yani ngoma 2-2= lakina chaa ajabu mungu ananisaidia nasongeza familia kijeshii sana,,, ndugu upande wa mama au wa baba wao wanamsaada nipale tu umauti utakapo nifika ila sio kwa leo yangu ,,ehe yalabii endelea kunipambania daima to say amin
2026-09-22 12:39:59
34
dickydaxy2
dickydaxy2 :
Walinificha kifo cha mamaangu narud kutoka dar wamesha mzika nimeambulia kuliona kabur lake tu mpk Leo napitia magumu namkumbuka yeye tu RIP MOM
2026-09-26 08:43:26
5
To see more videos from user @honeybee8578, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About