asa kaka mbon maisha yetu yanafanana 😂 ila me sitandiki
2026-09-21 09:05:39
163
Malkia Coast 🌊🏖️ :
Guess his favorite word
2026-09-21 09:24:55
42
Chuby chicks👍 :
Wacha nirud kulala ntaamka saa 5
2026-09-21 05:46:38
92
Aminah sunday :
kuoga aaaah 😅😅😅
2026-09-21 06:13:56
53
mo :
Hiyo TV Gani mzeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 18:43:04
6
Şeydanur 🦋 :
iyo stail aloamka nayo inabidi nipite na code iyo 😂
2026-09-20 20:49:19
40
Mucky :
Nani anaangalia saa7 hii na hajui anaamka mda gan
2026-09-21 10:47:37
17
MR LUMA :
Kuna vitu nilikuwa nakosea sasa nimejifunza vizuri😁😁
2026-09-20 22:14:52
15
Shanny 🥰🖤 :
😂ubaya nikikupenda huezi nipenda..ama unaeza?😅
2026-09-21 07:59:40
14
sourhernboy :
Kumbe kuna majobless mnaamka
2026-09-21 06:22:42
14
hoo :
Hata uyu jamaa😁
2026-09-20 20:18:15
12
MAMACITA🌸 :
Kwenye usingizi ukikukuta hakikisha unalala😂 hapo nimekubali Dadekiiii 😂😂
2026-09-20 20:26:29
14
flygirl💕 :
introvert haendag dukan
2026-09-21 12:15:18
7
enockkihongole :
kumbe kuna vitu nakosea eee
2026-09-20 20:17:32
8
itsshamsiah :
Kheeeh wew jamn unajinyosha kama anaconda 😂😂😂
2026-09-21 02:13:11
3
Salhaty🥰 :
Dah! Umenikumbusha kipindi nipo jobless nilikuwa nalala jmn njaa ndy inaniamsha alafu cm haziiti ila ukipata kazi cm kibao na sisi hatuwataki saiv ni kuwapotezea tu
2026-09-21 16:23:55
7
Azhar_004 :
nimejikuta napata stress baada ya kuangalia hii video😂😅
2026-09-21 07:39:27
6
Kiddy Tz :
naomba kuuliza jobles maan yake nn?
2026-09-22 14:38:18
5
Chisu :
nunua godoro
2026-09-21 14:45:16
2
Marafiki Club :
2026-09-21 02:37:33
2
dada vee kidoty :
😂😂😂nashukuru umegusa maisha yangu
2026-09-22 21:07:04
2
avitus jovin :
ndo mm uyo naangalia hii vidio saa 10:00 nasubilia ifike saa 11:00 niamke😂😂
2026-09-25 07:01:30
1
To see more videos from user @boegreen_, please go to the Tikwm
homepage.