@doktanature: Part 2: Documentary ya Maisha ya Elizabeth Wema by @afama_tv Katika Makala hii Utapata matumaini hasa pale unapopita katika nyakati ngumu za maisha, usione kama umefika mwisho, Mungu anajua hali yako na daima anakuwazia mema Hii sio simulizi yenye kukumbusha majonzi ila nuru na matumaini ng'ambo ya kaburi "Uwe na Utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maanaMwenyezi-Mungu amenitendea mema. Ameniokoakifonina kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka" - Zaburi 116: 7,8 (BHN)
kifo kisikie kwajirani ikifikie weeee acha inauma jamani brother Mungu akutie nguvu
2026-09-20 21:12:04
4
Suzana Mgoe :
Mwenyezi Mungu akutie nguvu kaka uwiii😭😭
2026-09-20 20:13:41
4
Halima Zuberi :
Pole sana kaka[Crying]
2026-09-21 07:21:50
1
Merry Jackson :
😭
2026-09-21 06:07:06
2
Nyakusuha Mwasi :
pole mdgo wangu viatu vyako ni vigumu kuvaliwa Lea watoto wako kwanza.hta mm nilifiwa na mume wangu 2021 kwa ajali nilipitia wakati mgumu sana
2026-09-22 04:19:08
1
lizyshine :
MUNGU azidi kukuimarisha zaidi.
2026-09-21 08:59:21
1
Ag🥰% :
Kitu kilichoni shangaza na kunipa moyo katika hili ni namna Mungu anavyowatia nguvu na kuwa imarisha waja wake hasa wanapopitia changamoto ngumu kama hizi. Hakika Lipo tumaini katika kumcha Bwana
2026-09-21 15:36:48
1
Sarah ❤️ :
pole sana Kaka yangu nakuoneya huruma sana mungu akutiye mguvu maana hata
2026-09-21 06:54:40
2
Vanpink123 :
Duh pole bro Mungu akupiga nie akupe faraja Doctor 🥲🥲
2026-09-20 20:13:39
2
Skola Skola :
pole sana kaka 😭😭😭
2026-09-20 20:40:42
1
Blessing Collection :
Nilipoteza mume 💔aseee hii kitu isikie tu kwa mtu ni ngumu sana ni uzoefu mgumu mnoo..pole kaka unamuhitaji MUNGU tu kwa sasa
2026-09-21 07:40:22
1
hidayachaduo :
Mnhhh...
pole sana Dr.Nature, sisi kama kanisa, jamii na mtu binafsi, tunaiombea familia yako, binafsi nimekuombea Mungu akupe moyo mkuu, kama anavyozidi kukufariji. Wakati utakapofika, Huenda ukapona moyo na ukasonga mnele, bhasi Mungu akukutanishe na mtu mtakayeweza kupendana sana (sio kuziba pengo bali kuanza ukurasa mpya tena wa furaha na upendo) na mtakaye mtumikia Mungu pamoja mpaka mwisho.... I pray for tou that when love visits again,may it be everlasting,genuine and whole. Stay blessed[Pray]
2026-09-21 05:32:34
1
To see more videos from user @doktanature, please go to the Tikwm
homepage.