sasa mbona matajiri wa Tanzania asilimia kubwa ni waislam?
2026-09-21 11:23:57
7
horney badger :
waislamu mje mjibu huku
2026-09-21 05:24:55
6
David Makweta :
kweli kabisa umeongea pointi
2026-09-20 21:28:20
12
joniivevo :
au tujaribu kusoma mbele kuja nyuma kiarabu ndugu zanguni ni ushauri tu maana mamb siyaelew kbs😂😂😂😂
2026-09-21 05:19:13
5
jpm baba :
😂😂😂😂😂😂 Maaaaaamaeeeeeeee kwishaaaaa
2026-09-21 08:53:43
0
𝗖𝗵𝗮𝗽𝗶𝘁𝗮𝗵𝗼𝗺𝗲 TZ :
Lugha yeyote utayotumia kuomba inapokelewa ata unaomba kwa lugha ya kabila lako inaswii
2026-09-21 07:01:39
4
lumyasa :
ilo nalo kwer maana ata atujui kinaombwa nn
2026-09-21 11:15:49
1
Angel🥰 :
tatizo tunaomba riski za halali 😅
2026-09-21 12:52:08
0
coman-msafi :
alhamdulillah mimi ni miongoni mwa waislam
2026-09-21 15:36:05
2
MJUKUU :
tofautisha dua na ibada maana dua unasoma hata lugha yoyote unayojua
2026-09-22 17:32:56
1
Haji Mohamed :
😂😂😂😂 kwakweli bora ukimaliza kuswali dua omba kwa kiruga cha kwenu au kiswahili maana huenda ukawa unaomba MUNGU Uusinipe hela wakat unataka hela subhanallah
2026-09-21 08:05:28
4
mganga_kiboko_ya_uchawi :
Fedha hazipatikani kwa kufanya kazi kwa bidii ingekuwa ndivyo basi masikini wangekua nazo nyingi sana mana Ndio wafanyao kazi mno
2026-09-21 05:35:47
2
R msomal :
yote ni kheri tu kwa7b dunian tunapita tu
2026-09-22 18:29:08
0
Rota wanaman :
unajuakwanini nacheka
2026-09-20 22:06:25
1
blackshombe.com :
Madras kazi yake ni nini?
2026-09-22 15:34:57
0
zainabu :
mungu ana angalia Nia nasio luga
2026-09-21 19:18:53
0
anu :
kina. wewe
2026-09-20 21:16:57
0
horney badger :
mi mnapenda wenyewe waje wajibu kwenye komenti, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-21 05:23:42
1
wisdom voice tz :
we jamaa hufai wewe😁😁😁😁
2026-09-23 13:05:58
0
Simba Mweusi :
ukweli 100%
2026-09-22 06:40:32
0
user6006381281243 :
😂😂😂 me ndomaan naomb kawaida
2026-09-23 03:03:51
0
dalas :
nyie tunajua mnachoomba😁😁😁😁
2026-09-23 00:29:42
0
Me🫣❤ :
umejuaje🤣🤣🤣
2026-09-21 11:59:17
1
swaumu :
kabisa yan
2026-09-22 08:13:02
0
Tajiri :
hahahaha ila uyu jamaa
2026-09-20 21:38:34
0
To see more videos from user @dully_favorite, please go to the Tikwm
homepage.