Nimeota zote isipokua iyo ya ndoa na iyo ya mwisho
2026-09-21 07:30:25
2
Rachel Thomas :
kuota mtu aliekufa anakukabidhi kazi nzuri ya pesa nyingi inamaanisha nn pastor
2026-10-04 13:06:57
0
lizzy :
mh me niliota navaa shela, na sijawai pata mtoto naangaika na uzazi
2026-10-03 15:33:50
0
msgustav56 :
Hata ukimuota ndugu yako
2026-09-21 08:17:51
0
Neyney :
Me naota Nina mimba au nimezaa what does it mean
2026-09-21 16:21:30
0
Najath🦋 :
Ni kwel kabsaa
2026-09-24 05:12:04
0
Gudgalsappy :
Waambie kuhusu kupoteza Kiatu yani unaenda kutafuta unamuacha mtu ukikipata stori ingine pia kuachwa njiani au kokote baadae humuoni au unamuona baada au yani ile kukuacha na mtu wako izo ndoto Zina maana kubwa sana
Aise haya nimeyapitia mno ila nashukuru Mungu now hazipo Tena kwenye kung'atwa na nyoka niliota 2023 mguuni na sasa Nina shida na Afya aise☹️
2026-09-22 10:42:40
0
miss Moshi ♥️ :
hata mama yako akiwa anakuelekeza
2026-09-21 17:48:09
0
naomie💕 :
Ninaota mtu alie kufa yuko hai afu aliehai ndo amekufa mpaka naona kaburi
2026-09-21 17:56:01
0
Mss lavie✨ :
Ebu nisaidie kitu apa niliota kulikua na purukushani nyingi na mwisho nikafika sehem nilikua naitafta pete yangu ambayo imepotea nikaipata nikamwambia mwanaume ambae nae alikua anaitafta kua nimeipata hii hapa tukawa tunafrai then akaichukua na kunivisha ile pete nikawa naiangalia kwa furaha pia yule mwanaume akiwa na furaha sana sjajua hadi saiz inakua na maana gani hii ndoto inanisumbua sana😔
2026-09-21 16:34:36
0
annsjohn :
mm nimeota nikiwa baba yang alifaliki mda ila akitoka hospitali akiwa amekonda sana ila nikamtia moyo atakula na kutumia dawa za hospital wili wake utalud nakuomb unisaidie inamaana gan
2026-09-21 15:06:36
0
Mariam sultan :
nishatoa nmeolewa na naikataa ndoa hapo hapo na nikarud kwetu😅
2026-09-21 08:03:36
0
Janeth Joseph :
ukiota meno yanaanguka je
2026-09-21 12:50:29
0
reen :
🥰🥰🥰
2026-09-21 05:38:40
0
To see more videos from user @trevohray, please go to the Tikwm
homepage.