Walimu Mungu awabariki nimesikia vizuri kuwaona watoto 🙏
2026-09-22 10:27:29
1
Anifa Kasiani :
jaman tumewamis watoto wetu tunawaombe kila baraka zikawe juu yenu pamoja na walimu wenu
2026-09-21 19:02:39
1
PELLAH :
Kwa Neema hiyoo
2026-09-21 11:21:27
2
Thomasava@tem 🎾 :
daka miaka mi3 nyuma nilikuw naenda out na mm,nashukulu kilamsa iliniheshimiaha kwa wazaz wangu😂 one ya 14 cy mchezo,nilikaa mbele😂
2026-09-23 12:16:59
1
grace kikoso :
Inapendeza sana mnawapa Afya ya Akili
2026-09-22 08:20:38
1
Chikôstár🎵 :
da!! miaka miwili nyuma nilikua kwenye huu msafala🥰🥰🥰
2026-09-22 05:24:19
1
Naishie Mainoya :
Mungu awatunze watoto wetu
2026-09-22 07:41:47
1
@official Nzilano🥰🥰 :
Apo na ulinzi juuu😂😂😂
2026-09-21 17:37:16
2
asumn rashidy :
nawez kupata form ya kiunga na shule hii
2026-09-22 09:10:53
0
sia :
mungu awabariki waalimu simuoni wangu mwee
2026-09-22 08:44:14
1
Orestha Mhagama :
Nitumie picha za day out.
2026-09-21 15:12:51
1
nasrah🌹 :
Daaaaaa miss sana out kilamsa
2026-09-23 06:26:05
0
user34817386583198 :
yaan huo maafara na huo wimbo DJ asibadilishwa anajua kurelate matukio
nimeupenda umeimbwa na nani jaman
2026-09-23 18:06:06
0
saphina :
mwanangu yupo hapo jamani msalimieni sana Alex j. zebedayo 🥰🥰
2026-09-22 14:41:45
0
S_fine Tz :
home
2026-09-21 09:54:23
1
user8660086249166 :
wewe noma sana
2026-09-21 10:23:22
1
Ashura njukwai :
safi
2026-09-21 18:49:37
1
Ben :
nimezmic safar kama hzo
2026-10-09 21:08:30
0
Madrina Magari :
Haleluya
2026-10-02 12:26:42
0
neygmsubhati :
Nimetaman nimwone mwanangu anapita
2026-10-06 18:44:58
0
mrs vasco :
wengine tunamiaka saba toka tumemaliza kilamsa jmn
2026-09-24 17:40:49
1
Madrina Magari :
utumishi wenu si bure unathawabu mbele za Mungu...Mungu awabariki sana sana waalimu wote mpaka ngazi za uongozi wote hapo Kilamsa bila kumsahau mbeba maono Mkuu wa shule
2026-09-23 18:34:16
0
user34817386583198 :
naendelea kujifunza tukipigiwa simu tutoe pesa za out tujikaze kutoa jaman watoto wa kilamsa ni classic student hadi supermarket bag wanazo means hadi classic shopping center wanaingia
barikiweni sana waalimu kwa malezi bora
2026-09-23 18:08:56
0
Salha Islam :
uniform zipo za aina mbili?
2026-09-22 05:35:33
0
To see more videos from user @sambalali1, please go to the Tikwm
homepage.