@ali_wisdom: Hatimaye nimegundua… mtu asiyekutaka tena, si lazima akuambie aondoke. Wakati mwingine huanza kurudia yale yale anayojua yanakuumiza; si kwa sababu hajui maumivu yake, bali kwa sababu anataka uchoke, ukate tamaa, kisha wewe mwenyewe uchukue uamuzi wa kuondoka. Na cha kuumiza zaidi… ni kugundua kwamba, kumbe alikuwa anasubiri tu uondoke. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
Ndicho alichokifanya aliekuwa mume wangu ameninyanyasa sana mola wewe shahidi wangu wa kwanza naimani huko alipo ana amani na amekipata kile ambacho alikipgania bila kujali utu na hisia zangu
2026-09-22 11:01:16
13
it's nay :
alafu kuna mei king'ang'a ata sionyeshi km naumia nipo bz na mtt apo ndipo napo mchangany mbn uyu mtu kila nacho mfanyia ashtuki
2026-11-04 05:39:01
1
Dallaz :
nakomaa navisa vyake aondoke yeye
2026-09-22 04:28:04
2
rachel pavlot :
nyie acheni sito kuja sahau katika maisha yangu mm🥺 mimba miez tisa vitu anavyo fanya ni hatar silali usiku nalia siku nzima
2026-09-25 07:19:56
3
أحلام 💙 :
ayo ndo yaliyonitokea na Alhamdullah nilishachoka nikaondoka
2026-09-21 18:45:22
6
rosekidot♒️♒️♒️ :
hakika alieandika hajadanganya hata kidogo😁😁😁😁
2026-09-21 08:20:35
8
Ithan nathan :
Hatimaye nimegundua...
Mtu asiyekutaka tena, sio lazima akuambie uondoke. Wakati mwingine huanza kurudia yale anayojua yanakuumiza, sio kwa sababu hajui maumivu yake, bali kwa sababu anataka uchoke, ukate tamaa, kisha wewe mwenyewe uchukue uamuzi wa kuondoka.
2026-09-22 13:01:52
3
Dada mzurii :
nilifanya hivyo na niliondoka kwenye maisha yake aende kwa anaye mpenda mimi niendelee kutunza amani yangu ya moyo inshallah na Mungu anazidi kunibariki
2026-09-22 10:13:21
4
Mansour Suleiman 0.98 °^®™✓ :
Poole kumbe ndio umejua Leo
2026-09-21 06:25:07
3
Zaynab :
alhamdullillah na nimekinai kweli.
2026-09-24 08:48:46
1
JOJO BAE❤️🦋 :
Ukweli unao umiza🥺
2026-09-23 18:56:29
1
Rayyan Amour 💞 :
Alhamdulillah daaaiman wa abadan 😭😭💔💔💔
2026-09-22 03:55:48
2
user51299383398305 :
exactly ☺️
2026-09-21 09:33:52
1
KING JO RO ☺️ :
hee kumbe😔
2026-09-21 15:10:44
1
Mama Triple H :
Hakika aslimia 💯
2026-09-22 14:06:20
1
zuhuraramadhani13 :
amini kwamba
2026-09-21 12:23:58
1
neilah :
na akiona amefanya yote pia uja mwelewa ana kwambia ukweli kbc mm naona tuachane naona mm kama sio taip yako kwangu unge tafuta tu mtu sahihi kwako
2026-10-11 08:58:56
1
pretty_garlo❤️🦋 :
hali nliopitia🥺omba isiwakute😭
2026-10-28 21:18:15
2
Ammie cute🧕 :
daaah kweli kabsaaa 😢😢😢
2026-09-22 13:46:08
1
Dorcas mwaimu :
Alafu ukichoka sasa na ukiamua akuna wa kukurudish ulipo toka
2026-09-26 06:55:05
1
mergan classic 😍 :
Sio mimi Ata siondoki aondoke yeye 😂😂
2026-09-23 20:07:42
1
mcuty Mamu🧕💖 :
hakika ya haya maneno yameshiba kweli kweli TUPU aah ama sijui yamenilenga na ninachokipitia hivi Sasa😔😥
2026-09-26 18:40:59
1
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.