@oneminutewithsheikhjamal: Wazazi ni neema usisubiri waondoke ndipo utambue thamani yao 🤍 Waheshimu, watendee mema na waombee kila siku🤲🏽 Namuomba Allah awarehemu wazazi wetu na waliotangulia mbele ya haki, awasamehe, awaepushe na adhabu ya kaburi na awajaalie Jannatul Firdaus. Aamiin 🤲🏽🤍 #oneminutewithsheikhjamaludin #fyp #islamicreminder #muslimtiktok #trendingvideo