@gracemacha152: Bila Madee, nisingekuwa Dogo Janja niliye leo... Kumbuka ulikotoka na mshukuru aliyekubeba ukiwa huna kitu. Unajifunza nini kwenye hii story ya Janjaro? Shusha comment yako hapo chini #DogoJanja #Madee #BongoFlava #Shukrani #MaishaYenyeUjumbe