@fmmazao_connect: #kilimobiashara #mazaoconnect #ujuzinibiashara

Fauster Mndunde
Fauster Mndunde
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 05:42:57 GMT
12548
474
23
67

Music

Download

Comments

maxanja
Masanja Wakili :
dada mi naomba niunge kwenye group lako la biashara ya mazao nataka kufanya.
2026-09-21 14:00:48
1
nchemba43
nchemba :
too wordy. go straight to the 📍
2026-09-21 13:28:46
0
sakina6316
sakina :
niunge kwenye group lako
2026-10-03 14:14:08
0
daniel.sitoni2
Daniel Sitoni :
🙏 naomba niunge kwenye kundi lako la kilimo cha muhogo nina eneo la heka tano ifaayo sana kwa zao hili
2026-09-27 16:49:06
0
angelkomba965
Angel [email protected] :
add
2026-09-21 06:39:02
0
mtotodida
DasTec :
safi sana dada
2026-09-21 08:19:39
0
linda.petere8
Linda Petere :
mm nna lima ila sna soko rasmi
2026-09-21 10:23:32
0
furahamwaikambo45
furaha mwaikambo :
🥰🥰asante sana mpenzi wangu
2026-09-21 19:04:22
0
ustadhabdillah
𝙪𝙨𝙩𝙖𝙙𝙝𝙖𝙗𝙙𝙞𝙡𝙡𝙖𝙝 :
biashara ukihadisiwa nzuri kweli mm nimeona watu wamelima muogo mpaka umeozea shambani kisarawe mkuranga kote bei ya muhogo kwa gunia la kilo100 haifiki hata elfu50 jamani
2026-09-23 18:54:04
0
davidmacha345
davidmacha345 :
tupe officialnamba dada
2026-09-21 08:19:44
0
stephanorichard55
Stephano Richard :
samahani dada angu naomba uniunganishe kwenye group lako mama angu please
2026-09-28 11:49:49
0
eliasmlulla
Elias Mlulla :
Tupe ramani tulime kwa kasi
2026-09-21 06:37:06
0
barakalema
Baraka Lema :
Duuh mimi ni mkulima wa mihogo lakini sijaona tija ya hil zao
2026-09-21 12:04:26
0
prospermanyama
Prosper Manyama :
dada nilitamani kujiunga na mazao connect
2026-09-21 10:35:06
0
agro.world.exports
Agro World Exports :
kujiposisheni😂😂
2026-09-25 18:25:57
0
itsmedanielaloyce
️ :
Katika Kilimo ambacho silielewi ndio hicho. Sijui hata masoko yake, sijui linauzwa wapi? naona watu wanalima ila sielewi supply chain yake. Kuna mihogo, tikiti, na maboga. Sielewi supply chain yake kabisa.
2026-09-21 09:31:48
0
linda.petere8
Linda Petere :
naomba niunganishe dada
2026-09-21 10:23:43
0
kitabuge.engineeri
kitabuge engineering workshop :
naanza kukuelewa unazungumzia vitu vyangu kabsa
2026-09-21 08:04:52
1
daskygon
SkyGon :
naomba group link
2026-09-29 04:31:13
0
mizizi27
mizizi :
Kalime sasa 😏
2026-09-21 14:45:35
0
macha_tanzania
Macha_tz :
makofiiiiii😁
2026-09-21 07:08:42
0
_last.5
最后五个.⁵ :
💯💯💯✌️✌️✌️🙏🙏🙏
2026-09-21 06:28:27
0
To see more videos from user @fmmazao_connect, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About