kuna mtu mmoja yuko dar anajiita bingwa wa magar usd lkn wewe umezid hapo ,mm nakubatiza jna la bingwa wa magar usd africa mashariki, naamin madaral wengi hawapend ufanyayo lkn kaa ukijuwa unayoyafanya nithawabu tosha kwa mungu
2026-09-21 10:39:42
2
user884697888757 :
Asante kaka Khalidi iatabidi nije Dom. unielekeze nataka Suzuki escudo
2026-09-21 09:07:39
2
Astra Tanzania :
Hongera kaka, ukiwa umenyooka uanaweza kuipata pesa kwa kuchelewa ila ikianza kuja huwa haina mwisho maana watu watarudi tena na tena na kupeana taarifa. Mungu akufungulie milango kaka
2026-09-21 08:46:12
3
Badface :
😂Halid siku nikija nitakukumbusha hii video, nina isave kk
2026-09-21 11:24:32
1
Zachary Salamba :
hili jamaa linatusaidia kweli mimi lilinisaidia kunielekeza namna ya kudownlod app ya kujua kama gari yangu inadeni kweli nilikagua nikaona,wapigaji lazima watamchukia ila anatusaidia sana na kutujanjarusha
2026-09-21 07:58:14
1
Kabasheke :
Nakukubali sana bro
2026-09-21 07:51:02
1
bin omary :
ukimaliza niambie bei ya huo umeme gx110 baas
2026-09-21 09:22:27
0
moses moses :
Kaka uko powa sana
2026-09-21 06:04:19
1
hamisi bakari mkumbo :
Nakukubali sn bro
2026-09-21 07:11:41
1
ANZELIMU :
khalid tupe bei ya hii unayokagua ww tuone km vip tufanye biashara
2026-09-21 11:56:47
0
The Don :
Tajeer nipe hiyo kwa mkopo
2026-09-21 08:04:25
0
mtan :
niko m5 nataka nisan extrail namba c
2026-09-21 08:58:08
0
Immortal_Brooz :
khali Magari nimeuliza grand mark two inabei gani kaka mbona unijibu
2026-09-21 07:41:51
0
I'm sport man :
safiii
2026-09-21 08:11:00
0
user6981749467527 :
kaka 🔥🔥🔥🔥
2026-09-21 11:00:16
0
@KunambiDr. :
2026-09-21 06:47:44
0
Giantpoultryfarming :
niuzie hii kk
2026-09-21 08:10:47
0
BASHITE ENTERTAIMENT :
hutopendwa namadalali uchwala kbsaaaaaaa
2026-09-21 08:29:50
0
PHILOSOPHY :
kaka naweza kulipa kigodo kidogo
2026-09-21 07:34:33
0
#Mtaa :
👏👏
2026-09-21 06:03:33
0
😁Mr smile😁 :
🔥🔥🔥
2026-09-21 06:06:21
0
2 boy's king of pool :
🥰🥰🥰
2026-09-21 12:47:33
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.