wasukuma na wagogo mlemle nawapenda watani zangu na nyimbo zenu piah🥰🥰
2026-09-24 09:37:24
20
Smile shifoya :
Mm sio msukuma ila huu wimbo naupenda
2026-09-24 09:00:45
16
cailny regina :
wasukuma taifa kubwa sana 💞💞💞
2026-09-23 13:54:51
33
Emanueli Bahati :
wasukuma tujuane
2026-09-24 09:07:21
16
forever :
hap sas
2026-09-24 05:40:43
1
Shany.shany :
wasukuma oyeeee
2026-09-24 05:16:45
18
photunatha :
siku ya halusi yangu naiomba
2026-09-25 06:23:46
2
Masoud Kayanda :
Home boy
2026-09-23 14:53:09
1
prime maulid :
mi nmeelewa kwenye onyango sijui niyule mchezaj
2026-09-24 04:13:08
8
watatu🙎🙎🙎 :
hii nyimbo inaitwa je
2026-09-23 21:11:14
6
Ms Binti :
Si niolewe tu na msukuma jamani😅😅
2026-09-24 16:06:25
7
eriza :
waoooo 🥰🥰🥰🥰
2026-09-24 06:32:16
1
Phia baby: (Jamila ) :
kumbe kaimba bob haisa jaman halafu hawakumuita kweny miaka 30 ya bongo fleva mwanza .alitamba na nyimbo wew dada nipe mgongo unipeleke kwa mama.na ile sio siri naumia ananichanganya
2026-09-23 20:07:54
10
Aste kidot💃💃🇹🇿🇹🇿 :
kwenye harusi yangu hii nyimbo isipopingwa sijaelewa kabisa
2026-09-23 19:21:56
7
Lazaro mwanamalundi :
Bob haisa umetisha sana blood
2026-09-24 07:22:44
5
Aisha❤ :
jamani natafuta kazi nipo mwanza 🥺
2026-09-24 18:45:08
2
Eun-mah🤍😊 :
mm mhehe Ila hii nyimbo naipenda jaman
2026-09-24 21:44:20
2
𝐦𝐞𝐥𝐤𝐢 :
muziki wa kisukuma😂 Mwenye album nzima anitumie niifute
2026-09-24 21:25:43
2
Soji S t.U.d.I.o :
Humu tuu
2026-09-24 18:44:23
1
àsn̈ăţĥ Mõ :
ilkua hatar
2026-09-24 17:05:52
1
To see more videos from user @mikaeli.wakala2, please go to the Tikwm
homepage.