atukusoma kufundishaa watu mtandaoni, ili hospital msije? tutakula wapi sisi.,,,,, nanyinyi kwanin muwasikilize watu wanao tumia gpt ? tunatumia almost siku nzima tuwahudumia hospital na mnatudharau sembuse mtandaon! ukiitaj ushaul wa kiafya njoo site msituchoshe.
ada kwa mwaka 3,000,000 alafu nikuelimishe Bure bila extra [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 14:10:42
15
Young emma💣 :
kumuona dactar sh ngap?😂😂
thats why hawaj online bora wasubr2 muende😂😂😂
2026-09-21 08:15:11
0
maa boy tz :
hatujasomea public service
2026-09-21 14:11:26
0
🦋~shawty~🦋 :
Comment section mnanipa raha vipi😂😂😂
2026-09-21 15:23:15
0
🦋💦🌦️ :
tuje mitandaoni halafu wagonjwa watawatibu nani sasa
2026-09-21 08:49:49
16
sanjaboe@123 :
Na ndyo maaana hospitals zmejengwa mje kwa hospital tukushauri🤣
2026-09-21 08:48:32
20
Dr.Cherry🍒🦋 :
Basi tutajibu tu kwa Mungu, Mi nae ushauri wa bure siwez toa , Elimu ya afya ni gharama sana
2026-09-21 11:37:42
7
skm1412 :
😁hatuwez kuja mtandaon hakuna consultation fee....ss pia hii n biashar😁🙌
2026-09-21 08:33:25
21
S.A.R.A.H :
Ndio maana tunafanyag outreach😂😂 kutoa elimu
2026-09-21 12:07:34
10
Doctor's corner 🥼🩺 :
Sio kweli kwasababu wao huwa wanaongea uongo na kumbuka huwezi mshauri chochote mtu anaye karibia kutapeliwa.. hivyo tunakuja kumshauri baada ya kutapeliwa 😂😂🩺✌🏾
2026-09-21 11:22:58
13
@juliepaul345 :
Ww ukija hospital ukanikuta nipo live naelimisha kuhusu afya badala ya kutoa huduma utanielewa
2026-09-21 08:02:55
59
thinercute2 :
watu wa afya sio waongeaji sana kiufupi tupo bize hata mda wa mtandaon hatuna,,,nimetoka night usku niingie tena mtandaon dada tuonee huruma,,
2026-09-21 08:32:57
10
🦋🦋kiang🥰 :
Hatujasomea mtandaoni sisi
Tumejifunza hospital na madarasani
So mje hospital tuwaelekeze
2026-09-21 08:44:15
7
To see more videos from user @health_farm_tz, please go to the Tikwm
homepage.