mtoto kaongea neno gumu sana unaweza ukanyamaza kwa kutii ukuu wa mungu kupitia neno la huyu mtoto 😭😭😭
2026-09-21 08:19:53
541
Cute me :
Umeniliza Mdogo Wangu Mungu Akufikishe Sehemu kuu Na Utimize Ndoto Zako 🙌😭😭
2026-09-21 09:22:05
224
Anna Mkondya :
Yani mtoto kaniliza huyuu 🤣🤣🤣
2026-09-21 12:20:09
50
ANGEL❤️🥰 :
USILIE ANKO MWAMINI YEYE JAMANI.UUMBAJI WA MUNGU HAURUDIWI😭😭😭😭eeeh MUNGU sijakupa kitu mimi
2026-09-21 17:40:39
60
NGOSHA STREETWEAR :
Jesus! we believe in you
2026-09-23 15:21:09
0
queen :
mungu akuponye mtoto mzur
2026-09-21 07:49:08
49
user7962778139049 :
imeniumiza sana
2026-09-24 08:53:49
1
$ :
Mungu nimekufuru mara nying naomba sana kupitia video ya uyu kijana nisamehe mimi na anayesoma apa uumbaji haurudiwi
2026-09-21 11:46:19
47
mama b @ fridawinnie :
mungu yupo na wewe mtt mzur kweli uumbaji wa mungu hauludiwi😭🙏🥰
2026-09-21 12:59:55
26
official j yanga forever :
Mtoto kaniliza mungu wambinguni amlinde siku zote😭😭
2026-09-21 08:57:52
45
Obekela Ian :
Mungu akutimizie kila itaj la moyo wako😭
2026-09-21 09:42:45
11
🦋boss lady 💕🌹 :
nitakuja kukuona I sweer sinakity Ila umenigusaa silim nitakuja kwaajili yako babe nikweli uumbajiwamingu aurudiwiiiiii
2026-09-22 12:36:37
9
Anita josiaha :
mtto umeongea neno gumu sanaa tusilie Mungu ametuumba Kwa namna ya ajabu sana
2026-09-22 12:43:57
9
Ester Leonard :
ee Yesu inua watu kwaajili ya watoto wote walioko ktk kituo hiki 😭😭 uumbaji wako haurudiwi Mungu
2026-09-21 09:38:20
21
sweet dreams 💕 :
ee mwenyezi mung nakushukul kwa huu umbaj ulioniumba baba ang
2026-09-21 09:56:24
12
Princess Hawaty🌸❤️ :
MUNGU Asante sipendag mdog wang ajione tofaut na watoto wenzie kwa kasoro ya mkono namwambia kaza uko powa mbona na wewe 😌🥺
2026-09-21 10:57:55
34
SAM_TIZA :
😭😭😭😭😭 JAMAN ALIYE TAYAR TUFANYE KITU KWA UMOJA KWENYE HIKI KITUO MM NENO AMBALO LIMENILIZA HUYU DOGO KUSEMA UUMBAJI WA MUNGU HAURUDIWI INA MAANA AMEJUA ALIVYO MM NALIA😭😭😭😭 TU